Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,052
40,715
Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa.

Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu anaiulizia Tanzania sasa hivi, hata search rating za Tanzania zimepanda sana kwa sasa.

Video clips zina maelezo zaidi:

Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu anaiulizia Tanzania sasa hivi, hata search rating za Tanzania zimepanda sana kwa sasa.
Video clips zina maelezo zaidi:

Yaani watu hawajui kesho wanakula nini wasikilize ikibindankoi
 
Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu anaiulizia Tanzania sasa hivi, hata search rating za Tanzania zimepanda sana kwa sasa.
Video clips zina maelezo zaidi:

Mkuu na wewe umeamini hili? Ngoja nikupe mfano, video ya dynamite ilipata 101 milion views ndani ya saa 24 toka iwe uploaded, How you like that ilipata views 86.4 in milion ndani ya 24 hours ndani ya saaa 24, Icecream views 79 milion

Na ndani ya saa ishirini na nne hizi, video iliyotazamwa sana inaitwa Titlian imetazamwa mara 8.1 milion ndani ya saa 24 hizi, kifuatiwa na bichota mara 6.4 milion.

Hivyo wah ambayo imechukua wiki kufikisha views milion 10 haiwezi kuwa ya kwanza worldwide, labda kama ni Afrika au East Afrika
 
Mwisha wasiu views za kibongoni utopolo tu.

Kwanza wa promo alilofanya hata kufikisha hizo views bado probably ni failure.

Umetumia masaa kibao kwenye TV uko LIVE kuanzia mapokezi ya Koffi Airport, kurekodi wimbo, kushuti video ( both traditional and social media ).

Gharama ya hiyo promo probably ni zaid ya 10M kama ukiweka gharama.
 
Back
Top Bottom