AFRIMMA AWARDS 2020: Hongereni wasanii wetu Diamond, Zuchu na Nandi kwa kutuwakilisha vilivyo watanzania

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,730
10,033
Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa.

Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua tuzo za

-: Best east Afrika awards ya (Female & Male - DIAMOND PLATNUMZ & NANDI).

Huku tuzo ya

-: Newcomer artist kwa Africa ikichukuliwa na ZUCHU.

Zuchu.jpg

Itoshe kusema hongereni.
 
Kama tulikuwa wote usiku wa AFRIMMa

Like nikuAdd

Ha ha ha hah

Hongera ZUCHU,

Ila huko WCB una mtihani sana kwa kupata tuzo nyingi,,bila ya boss wako kuwamo kwenye list ya ushindi.

Yaani wanajiparuza kumtaja mondi ila walikuwa wanakulenga wew.

Ni sawa na chadema bila mbowe hakuna kuingia bungeni.
 
Kama tulikuwa wote usiku wa AFRIMMa


Like nikuAdd

Ha ha ha hah


Hongera ZUCHU,

Ila huko WCB una mtihani sana kwa kupata tuzo nyingi,,bila ya boss wako kuwamo kwenye list ya ushindi.

Yaani wanajiparuza kumtaja mondi ila walikuwa wanakulenga wew.

Ni sawa na chadema bila mbowe hakuna kuingia bungeni.
Na CCM kwa Magu itategemea AMEAMKAJE SIKU HIO.
 
Kama usipopiga wew sio kwamba wengine hawapiga kuna mashabiki die hard fans wanakesha usiku kucha kwa kazi hiyo.
Hujanielewa....!! Nimeuliza wasanii wanafaidika nin na hzi tuzo , kuna fungu wanapata la pesa, ?? Au kuna kitu wanapata , au ni heshima ya kujulikana (fame) ndo nataka nifahamu....kama utakuwa hujanielewa na hapa basi
 
we are now waiting for grammy official nomination.. Sasa tunasubiri uteuzi rasmi wa grammy. WCB for life
 
Back
Top Bottom