diamond platnumz

  1. T

    Tusimwadhibu Diamond Platnumz

    Na Thadei Ole Mushi. Diamond 💎 Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT. Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka maeneo mbalimbali Duniani. Wasanii wanaoshindania Tuzo hiyo na Diamond ni Aya Nakamura toka France...
  2. BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi. BET wenyewe hawana hata muda huo
  3. Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  4. Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ... Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
  5. BASATA, barua za kiofisi haziandikwi hivi

    Sina shida kuhusu kumpigia campaign Diamond, kila mtu atachagua mtu wake wa kumpigia! Shida yangu iko kwenye uandishi wa barua za kiserikali kuwekwa picha ya MTU na Katibu akaisaini kabisa. Huu uandishi haukubaliki na naomba isijirudie tena.
  6. Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono! Lissu...
  7. Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

    Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki.... Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..! Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo...
  8. C

    Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

    Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani, Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI. Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
  9. C

    Hongera Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET

    Niaje niaje. Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki. Karibu tumpongeze Mtanzania mwenzetu kwa safari hii ya kugombea hiyo tuzo maana kuipata ni issue nyingine lakini...
  10. Tanasha Donna has officially got a substitute...

  11. W

    Shutuma za Diamond Platnumz dhidi ya Forbes, sasa naanza kuamini maneno ya Vijiweni kuwa Bakheresa ni tajiri zaidi ya MO

    Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na moja kati ya recording label kubwa ya muziki dunia, Warner Music Group, kuhusu usambazaji wa kazi za...
  12. Clouds FM, Millard Ayo na Diva wamemaliza ugomvi na Diamond Platnumz?

    Hawa ndugu zangu wameanza kuja kwa kasi sana kum - support Diamond Platnumz haswaaa. Deal aliyoi-sign na Warner inazidi kuwafumbua watu. Swali ni: Je, kuna nini kinaendelea au ndo mabifu yamesha sitishwa? Naomba mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe.
  13. Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

    Mambo si mambo huko Instagram, Mega Star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake .... Kufuatia post hiyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku...
  14. Diamond na Wasafi Media mmeonesha "lack of professionalism" kwenye hili la Forbes

    Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika. Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes wametoa list ya wasanii tajiri Afrika zaidi ya page zisizo rasmi!!! Naona pia wasafi tv na radio wanali...
  15. Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) asaini mkataba na kampuni ya muziki ya Afrika Kusini, Warner Music

    Msanii Diamond Platnumz, ameandika historia nyingine tena baada ya kutia saini mkataba na kampuni ya muziki ya Afrika Kusini, Warner Music. Mkataba huo mpya utahakikisha kuwa WCB Wasafi imejumuishwa katika Warner Music Afrika Kusini na Ziiki Media, wakati mtandao wa Warner Music ukisaidia...
  16. Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

    Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena , na ile mall ya wasafi Sijui imeishia nchi gani au ndo imekufa na corona, mara Sijui ana perfume...
  17. Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

    Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba. Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016. Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza. Na...
  18. H

    Mchambuzi George Ambangile azawadiwa gari na Diamond Platnumz

    Mchambuzi mahiri na ayetikisa kwa sasa kwa uchambuzi wa kina wa soka wa kipindi Cha sports Arena na sport court Cha Wasafi Media George Ambangile hapo Jana amepewa zawadi ya gari Aina ya CROWN na msanii wa kimataifa na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kwa kazi nzuri alionesha George...
  19. Diamond Platnumz hiki nini sasa?

    Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
  20. Sababu za Diamond Platnumz kutumia itel A37 hizi hapa

    Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa sababu zilizoelezwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…