Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,374
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
1622726974007.png

Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
 
Wacheni kelele, hawa wasanii wa hili taifa wanatakiwa kufunzwa iwe kwa mijeledi au vyovyote waache kujipendekeza kwa CCM halafu ukifika wakati wanahitaji kupigiwa kura ili washinde tuzo fulani, wanawaomba watanzania wawachague.

Wanatakiwa wakawaombe CCM wenzao wawapigie hizo kura, wasanii wa Tanzania ni mfano wa wasanii wachovu kiakili ambao hawawazi chochote kingine kinachoisibu jamii iliyowazunguka, zaidi ya kuangalia maslahi yao kwa kujipendekeza kwa mabwana zao.
 
Lisu tukimuonya pia kwamba tabia yake ya kupiganiwa urais wake na amsterdam mtu wa nje ya nchi anawapoteza watz wengi maana watamuona anatumiwa na mabebru.

Hili la Diamond, akumbuke kwamba kuna mashabiki kibao wa diamond anao huko chadema, sasa hizi chuki zake kwa diamond haoni kama anawagawa watu wake?

Hivi inakuwaje chadema ile ya dr slaa imekuwa mrenda mrenda kiasi hiki?
 
Mim napenda sana songs za Diamond za kipindi hicho

Very touching songs...Ila hizi za siku hizi za paka mate iteleze, Mara nasafisha mtaro, mara alichokupa mama kwa kweli nikiwa home nawaonea aibu WATOTO na wadogo zangu.

Aondoe lugha za kuchochea ngono /sex abakie kwenye kuchochea mapenzi/love Kama mwanzoni

Kwangaruu wimbo mzuri Sana ukiondoa vineno ngonoka alivyochomeka diamond
 
Mim napenda sana songs za Diamond za kipindi hicho
Very touching songs...Ila hizi za siku hizi za paka mate iteleze, Mara nasafisha mtaro, mara alichokupa mama kwa kweli nikiwa home nawaonea aibu WATOTO na wadogo zangu
Aondoe lugha za kuchochea ngono /sex abakie kwenye kuchochea mapenzi/love Kama mwanzoni

Kwangaruu wimbo mzuri Sana ukiondoa vineno ngonoka alivyochomeka diamond
Nasikitika kukwambia kwa hii comment yako nawe umechochea ngono hapa jf.
 
Lisu tukimuonya pia kwamba tabia yake ya kupiganiwa urais wake na amsterdam mtu wa nje ya nchi anawapoteza watz wengi maana watamuona anatumiwa na mabebru.

Hili la diamond, akumbuke kwamba kuna mashabiki kibao wa diamond anao huko chadema, sasa hizi chuki zake kwa diamond haoni kama anawagawa watu wake?

Hivi inakuwaje chadema ile ya dr slaa imekuwa mrenda mrenda kiasi hiki?
Kwani Lisu ameongea kwa niaba ya Chadema? Au mi ndio sielewi.
 
View attachment 1806668
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?
Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki...Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi , Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kule kule sasa kwa nini asiwe Chadema.
Ili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Wasafi wakiwa ni wa mavazi na muonekano pekee huku wakisahau usafi katika utu na haki ,Hakuna Mtanzania atakaye waelewa.
 
Hapo Lisu anamchota akili Mbowe tu, kimsingi Lisu na Mbowe hawana common goal. Sasa baada ya kumpiga TKO ya Sabaya anampoza kwa issue ya Mondi ambayo anajua itakidondosha zaidi CDM.

Asante Lisu endelea kubandua mdogomdogo hilo gogo Mbowe akija kushtuka chama tunachukua tunakirudisha kwa Watanzania wazalendo kama wewe.
 
Chama hakina ajenda zaidi ya kudandia trending issues hata zisizo na mashiko. Chadema hawapendi kukosolewa JPM nafuu! Hivi makamu mwenyekiti anaingia kwenye malumbano ya akina Diamond kweli?

Hawa kwao kikwazo si alikuwa mwendazake? Sasa watakuwa exposed jinsi wasivyo na ajenda.
 
Back
Top Bottom