Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,490
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?

Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.

29010B36-0501-4316-8837-100787FB109B.jpeg
 
Je kama ni "Jumlisha"?
Kipi kimefanya useme ni msalaba?
Unaelewa msalaba ni nini?

Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"

Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?

Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?

Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
 
Andiko lipi linasema Yesu hakuangikwa msalabani?

Nakubaliana na wewe kuwa asili ya msalaba siyo ukiristo, lakini Yesu Kristo alisulubiwa Kisha akaangikwa msalabani.

Maana ya msalaba Ni mihimili miwili inayokinzana.

Jumlisha pia Ni sehemu ya alama ya msalaba ( rejea red Cross n.k)
 
Unaelewa msalaba ni nini?

Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"

Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?

Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?

Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
Hizi dini hizi, sema wewe ndivo unavoamini na hiyo ndo kweli yako.
Mi naamini Yesu alibeba msalaba sio nguzo wala mti kama baadhi ya madhehebu yanavodai.

Mwisho.
 
Je kama ni "Jumlisha"?
Kipi kimefanya useme ni msalaba?
😂😂 Bonge moja la point japo limekaa kiutaji utani hivii.
Ni kweli kabisa mkuu what if diamond anaamini huo si msalaba ni jumlisha.

Na kuna ule wimbo mwishoni anakwambia jua tutofautisha kati ya msalaba na jumlisha.
Mleta mada umejuaje kua huo ni msalaba na sio jumlisha??
 
Unaelewa msalaba ni nini?

Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"

Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?

Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?

Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
vipi kama yesu alibeba jumlisha ila watu wakatafsiri tofauti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom