Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

officialBossmtoto

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
369
1,178
Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia.

Kwa namna yeyote ikitokea negative impact sio kwa Pande hizo mbili, bali ni direct kwa Diamond

At this point kuna mawili

1) Kama anafanya kuflex kwa hao wanaomchukia ajue tu kwamba kwa hizi mbwembwe akiflop watamcheka sana.
People will hate when you have something and will laugh at you when you loose it. Hawa wanaomchukia leo na kusema hawezi leta 0KM hao hao watamcheka na kusema kwani si angenunua Range Rover tu atulie.

2) Haya magari hayanaga thaman baada ya kununuliwa. In short Exotic cars(items) nyingi huwa na bei nzuri zikiwa mpya. Kwenye kuiuza lazima upoteze hela kibao. Kama amenunua kwa ajili ya investment asee mbona kama hii investment imekaa kushoto.

Ushauri wangu
Wasanii bongo wanapenda sana kuvimba, pia Kuna wabongo wanapenda sana kuvimba. Anaweza fanya VVVIP car Rental
Imagine with 20,000,000 mtu unapewa msafara wa Escalade 2 na Rolls Royce plus ushers, bodyguards, media coverage, Celebrity appearance na makorokoro kibao

Am sure wapo watu watataka hii kitu hasa kwenye maharusi ya wahaya
But kuyaweka parking pale chini ya maturubai asee soon atalia kijana wetu.

WE LIKE IT OR NOT, DIAMOND IS ON ANOTHER LEVEL. HATA KAMA HIO GARI NI USED SAWA, BEI YAKE SIO SAWA NA SUBARU, BUT KAMA ANAYAFANYA HAYA KUWAKOMOA KINA MANGE, HAO HAO KINA MANGE WATAKUJA KUMCHEKA

IMEANDIKWA NA FELIXRED

“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
 
Diamond ana dream ya kumiliki gari ya type hii tokea 2015 na alitamka hili ktk mahijiano na Millard Ayo. Hajanunua kumkomoa Mange kwani Mondi hana time na Mange, ila Mange chuki zake mwenyewe ndizo zinazomuumiza pamoja na wenzake akina H baba na Mwijaku.

Then hela yake mwache mwenyewe aitumie
 
“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Ana management mbaya kweli au unaongea kinyume 😀😀😀
1.Management ambayo imemfanya apige shows zaidi ya 90%,ya nchi za kusini mwajangwa la Sahara ukitoa za kiaarab na mwezi wa kumi na moja ana show Gambia.

2.Management iliyompa tuzo kubwa MTV EUROPE mbili, MTV MAMA 1,Channel O tuzo 3,3 nomination BET.

3.Management ilimfanya asaini mikataba ya ubalozi na Voda, PePsi na kuwa balozi wa Itel nchi tano (Togo, Kenya, Uganda, Ivory Coast,Tanzania).

4.Management iliyompa deal Universal na Warner.

5.Management ili mfanya leo hii kufanya kazi na Netflix na mwezi huu anaelekea South kwa ajili wa uzinduzi wa show yake.

6.Management iliyomfanya aandae tamasha kubwa la Wasafi Festival chini ya wadhamini wakubwa Pepsi na sasa Tigo.

Hebu nitajie Management yoyote Afrika Mashariki na kati iliyofikia robo aliyo yafikia Diamond na Management yake.
 
“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Alicia Keys alishajulikana huku Africa miaka mingi kabla hata Diamond Platinumz hajaanza kuimba.

Labda wewe mtoto wa jana ndio humjui Alicia Keys.
 
Kama kuna watu nchi hii hawakauki midomoni mwa watu basi diamond jina lake kutakuwa on top..

Zamani miaka km nane ,Tisa hivi haters wake Walikuwa wanamsema diamond anarudiarudia nguo,Leo hii wanamsema magari ya kifahari anayonunua hayana faida yoyote,ni upuuzi

Hapa ndy unakuja ule msemo;huwezi kumridhisha binadamu hata ufanyaje
 
Back
Top Bottom