Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
Niaje niaje.
Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki.
Karibu tumpongeze Mtanzania mwenzetu kwa safari hii ya kugombea hiyo tuzo maana kuipata ni issue nyingine lakini...
Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na moja kati ya recording label kubwa ya muziki dunia, Warner Music Group, kuhusu usambazaji wa kazi za...
Hawa ndugu zangu wameanza kuja kwa kasi sana kum - support Diamond Platnumz haswaaa. Deal aliyoi-sign na Warner inazidi kuwafumbua watu.
Swali ni: Je, kuna nini kinaendelea au ndo mabifu yamesha sitishwa?
Naomba mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe.
Mambo si mambo huko Instagram, Mega Star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....
Kufuatia post hiyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku...
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika.
Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes wametoa list ya wasanii tajiri Afrika zaidi ya page zisizo rasmi!!!
Naona pia wasafi tv na radio wanali...
Msanii Diamond Platnumz, ameandika historia nyingine tena baada ya kutia saini mkataba na kampuni ya muziki ya Afrika Kusini, Warner Music.
Mkataba huo mpya utahakikisha kuwa WCB Wasafi imejumuishwa katika Warner Music Afrika Kusini na Ziiki Media, wakati mtandao wa Warner Music ukisaidia...
Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena , na ile mall ya wasafi Sijui imeishia nchi gani au ndo imekufa na corona, mara Sijui ana perfume...
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.
Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.
Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.
Na...
Mchambuzi mahiri na ayetikisa kwa sasa kwa uchambuzi wa kina wa soka wa kipindi Cha sports Arena na sport court Cha Wasafi Media George Ambangile hapo Jana amepewa zawadi ya gari Aina ya CROWN na msanii wa kimataifa na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kwa kazi nzuri alionesha George...
Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa sababu zilizoelezwa na...
Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
Salaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
Habar wanaJF,
Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu.
Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange.
Haya...
Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa.
Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu...
Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music
Facebook Twitter Email
The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical landscape, success, expanding his empire and more
CHRISTOPHER A. DANIEL
GRAMMYS
OCT 6, 2020 - 1:36 PM
When...
Baba lao (Diamond)-kushoto kulia (harmonize)
Mdogo mdogo (Diamond)-mpaka kesho (harmonize)
Wezele (rich mavoko)-on the low (burnaboy) full video
Niwahi (rich mavoko)-je utanipenda (Diamond) kwenye onesho la fashion
Na nusu (Nandy)-tip toe (jason darulo)
Scene ya wacheza kareti.
Alele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.