diamond platnumz

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

    Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwezi mmoja. Mali hiyo yenye thamani ya zaidi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Diamond Platnumz kuendelea kuishi na Tanasha ni Mkubwa sana

    Wengi huwa nawaambia ukiona mtu na demu wake au mke wanagombana usiingilie kwa kumchamba au kumsema vibaye mwingine au kumuelekeza chuki dhidi ya mmoja no uta ahibika, lazima tuishi kwa kuwaelewa na kuwaombea ipo siku watarudiana. Niliwahi kwenda kuamua ugomvi wa binam na mumewe nikamlazimisha...
  3. Burnaboy

    JamiiForums Tanzania Mondi kusamehewa iwapo atamuacha Tanasha? Sidhani

    Mimi ni fan wa Mondi. Kama mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, naweza kuamua kumu "un-fan" muda wowote. Anguko la Mondi linaweza kutokana na mambo ya mahusiano kwa sababu hizi (3): 1. "Ego" - kwa tabia anataka lazima awe mwenye "control" kwa mwenza wake. Uhalisia, Ili kufanikiwa kwenye...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Turkish airlines watakuwa sponsor wa European tour ya Diamond Platnumz

    Msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz amepata dili kutoka shirika kubwa la ndege la Turkish airlines kuwa Kama main sponsor wa show yake ya European tour atayoifanya hivi karibuni.Kabla ya hapo diamond aliwahi kupata dili la Emirates airlines Mwaka 2018 pamoja na kutangaza...
  5. warumi

    JamiiForums Tanzania Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

    Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie. Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii...
  6. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

    Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake. Alivyokuwa chini ya...
  7. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

    Baracka the Prince ametamka hayo wakat akihojiwa na kituo fulan, amesema Kwa sasa ni kumkosea heshima Diamond kumfananisha na Ally Kiba , na hvyo Ally Kiba anatakiwa afananishwe na Best naso , video sekunde 38 waweza Ichek
  8. joseph1989

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa kutumbuiza katika Tuzo za CAF na Tuzo za Kituo cha Nigeria Sound City

    Diamond ana perform ktk hizi tuzo za CAF kwa mara ya tatu. ---------------------------- Diamond Platnumz aki-perform kwenye CAF
  9. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba ni kumkosea nidhamu

    Nimekuwa nikisikia mara kadhaa mijadala ya vijana wakijaribu kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba, nionavyo mimi kwa mahali alipofika Diamond, hakuna msanii wa kulinganisha naye kwa hapa nchini. Ali Kiba ni msanii mzuri kwamaana ya talent lakini level zake ni akina Harmonize tena...
  10. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa kiti cha ufalme wa bongofleva hawezi kutoka kwenye mikono ya Ali Kiba wala Diamond Platnumz,

    Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye mikono ya hawa manguli wawili wanaotifuana na kupelekana mchaka mchaka kunako game ya bongofleva...
  11. H

    JamiiForums Tanzania 10 years of Diamond Platnumz

    Kwanza kabisa na mpongeza kwa kufikisha miaka 10 ya mziki wake SI rahisi kuwa on top kwa miaka hiyo yote lakini huyu mwamba kaweza.Haya ni baadhi ya mambo aliyofanya kwenye kipindi chake chote Cha mziki 1.kutengeneza wasanii wakubwa from scratch kupitia label yake ya WCB Kama vile Rayvanny...
  12. joseph1989

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz atawala chart za Kenya na Tanzania Boomplay kwa wanamuziki wa TZ.

    Rf
  13. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Kidiplomasia: Diamond Platnumz Apewe Pasi ya Kibalozi (kama hana)

    Na. M. M. Mwanakijiji Naomba kupendekeza kuwa huyu kijana apewe rasmi hati ya kusafiria ya Kibalozi (Diplomatic Passport). Nimekuwa nikifuatilia jinsi anavyoshirikiana na wasanii wengine ndani na nje ya nchi lakini pia jinsi gani anakubalika katika sehemu mbalimbali za Afrika. Nimefuatilia kwa...
  14. hiram

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anajulikana kuliko PEPSI!!!

    Issue ya Diamond Platnumz kuitangaza Pepsi linanifikirisha sana kwamba pepsi na Diamond nani maarufu kiasi cha kumtangaza mwenzake
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wa kike

    Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
  16. Lawrichie

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

    ''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME) Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''
  17. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

    Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
  18. Barcelona763

    JamiiForums Tanzania Mbosso – Maajab

    Mbosso – Maajab Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
  19. Kwetu Masaki

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amtetemesha Didier Drogba Kwenye Birthday Yake {VIDEO}

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba
  20. Barcelona763

    JamiiForums Tanzania Wacha waseme

    Sina neno kwa WasafiFestival
Back
Top Bottom