BASATA, barua za kiofisi haziandikwi hivi

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,421
85,858
Sina shida kuhusu kumpigia campaign Diamond, kila mtu atachagua mtu wake wa kumpigia!

Shida yangu iko kwenye uandishi wa barua za kiserikali kuwekwa picha ya MTU na Katibu akaisaini kabisa.

Huu uandishi haukubaliki na naomba isijirudie tena.

IMG_20210604_080455.jpg

IMG_20210604_080138.jpg
 
Pengine hiyo barua imeandikwa na Wasafi chini ya Usimamizi wa Baba Levo halafu Kaimu Katibu wa Baraza yeye katakiwa kusaini tu iende hewani
 
Pengine hiyo barua imeandikwa na Wasafi chini ya Usimamizi wa Baba Levo halafu Kaimu Katibu wa Baraza yeye katakiwa kusaini tu iende hewani
Hahahaha Naibu Katibu Mkuu ana elimu gani? Natamani kujua profile yake
 
Uandishi wa ovyo kabisa. Nashangaa pia matumizi ya alama ya mshangao kwenye kauli mbiu mwishoni mwa barua " Kwa pamoja tutashinda! Sanaa ni kazi!"
 
Wivu!

Yote haya ni wivu!..

Inakuwaje kijana kabisa wa kiume unamuonea wivu mwanaume mwenzio?
 
Wivu!

Yote haya ni wivu!..

Inakuwaje kijana kabisa wa kiume unamuonea wivu mwanaume mwenzio?
Nitaanza kukuonea wivu wewe binti! Huu utoto wenu mnaharibu mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom