Diamond Platnumz kwanini ulikwenda wakati unajua kabisa hupati Tuzo, Wizikid mbona katulia zake gheto?

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,141
21,279
Habari wakuu

Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa.

Mbona Wizikid alichill geto tu, kwani alijua kabisa hawezi kupata, hakuona umuhimu wa kwenda huko.

Hongera sana Simba ila pole sana kwani umekula za uso mbele ya Burna Boy.

1624951704782.png

 
Habari wakuu


Hivi diamond aliwaza nini kwenda huko USA,inamaana aliamini kelele za kina baba levo zingeweza kumpa BET kweli?

Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai ,aliyemshauri kamponza kweli ,hazijamtoa hata kidogo ..

ile ngao sijui aliwaza nini wadau ,nilibaki nimeduwa ...

Mbona wizikid alichill geto tu ,kwan alijua kabisa hawezi kupata ,hakuona umuhimu wa kwenda huko ...


Hongera sana simba ,ila pole sana kwan umekula za uso mbele ya burna boy ,cha mhimu fanya mpango ukawatongoze wale madem waliomtangaza jamaa uwape mimba tu kama kulipa kisasi ..


Uzi tayar
Naona alienda kufanya onesho la nguo za asili za moja ya makabila ya hapa Tanzania.

 
Back
Top Bottom