diamond platnumz

  1. Barcelona763

    JamiiForums Tanzania Msanii bora Bongo flava 2018

    Mwaka wa 2018 msanii bora 2018 ni yupi na wimbo bora was mwaka kutoka kwake ni ipi ?
  2. Barcelona763

    JamiiForums Tanzania Nyimbo bora bongo flava 2018

    Nyimbo bora 11 za bongo flava mwaka wa 2018 .Zilizofanya vizuri na ambazo ni bora kwa maoni yangu binafsi. 1.nibebe aslay 2.Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru 3.nedy music one and only 4.mvumo wa radi alikiba 5.ninogeshe nandy 6.Harmonize – Atarudi 7.mbwa koko Mr blue 8.Young Killer...
  3. Barcelona763

    JamiiForums Tanzania Diamond kufuta lala salama

    Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic. “Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu...
  4. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Ni Diamond Platnumz ukipenda mwite Warren Buffett wa Bongo

    MWAKA 2007 (miaka 11 iliyopita), nilisoma jarida la Forbes. Mahojiano mazuri na tajiri mwenye mawe mengi, Warren Buffett. Kipindi hicho, Buffett alikuwa tajiri namba mbili duniani, nyuma ya Bill Gates. Niliandika makala gazetini mwaka huo kwa kutafsiri mahojiano hayo. Wakati huo, Buffett...
Back
Top Bottom