Kwani aliyemshauri Diamond Platnumz kuvaa vile nani?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,866
5,683
Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;

1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.

2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.

3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba fulani......hata hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani kama kule na karne kam hii?!!! Kwani Nigeria hakuna makabila?!!

1624951846005.png
 
Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;
1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.

2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.

3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba flani......ht hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani km kule na Marne km hii?!!! Kwani nigeria hakuna makabila?!!

Screenshot_20210628-233654_Gallery.jpg
 
Mmasai japo alikwenda marekani kwenye hizo tuzo, ila sura yake kwenye picha alizopiga huko ilikua haina furaha kabisa. Nadhani babu yake alikwisha mwambia kwamba mjukuuu hii ngoma imekaa vibaya na haipanguki, wazee wa kinaijeria wanaikeshea kwenye vyombo vya kivita pia ila fanya kwenda ukapate connections mpya.

Sura yake haikuwa na bashasha kabisa kama vile alijua kitakacho tokea.
 
Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;
1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.

2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.

3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba flani......ht hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani km kule na Marne km hii?!!! Kwani nigeria hakuna makabila?!!
Dogo si Mmanyema, hana chembe yeyote ya Kimanyema.....yule ni MUHA! Anaishi maisha feki ya kulikataa kabila lake na ndiyo maana mizimu ya kwao imekataa kafara alilofanya Mama yake.
 
Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;
1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.

2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.

3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba flani......ht hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani km kule na Marne km hii?!!! Kwani nigeria hakuna makabila?!!
Samahani sana huyu sio wa Kigoma. Labda akina Nyange wa Mwanga wanaweza kukujibu HUKU kIGOMA alishahama
 
Back
Top Bottom