dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MWANDAMBO

    JamiiForums Tanzania Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Tuzo Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Rais Lukashenko aingilia Mapambano ya Wagner dhidi ya Urusi

    Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia. Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe Wamagharibu na kumtaka asielekee Moscow kumwondoa Putin. Rais huyu wa Belarus inaonekana ameombwa na...
  4. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

    Friends and Enemies, Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa. Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Rais Hassan ana lake jambo la hila dhidi ya Tanganyika kuhusu hili la Bandari na mengineyo.

    Hello, Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu. Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wanafunzi wanne wasimamishwa masomo kwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao

    Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15. Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

    Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa. Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba. Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kushuka thamani kwa TZS dhidi ya USD ni speed ya 7G

    Habari wana JF, Naomba kuuliza: Hivi hii speed ya TZS kushuka thamani dhidi ya USD kuna maanisha nini kiuchumi? Asanteni
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

    Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo kupita. Masaa 12 baadae (saa kumi usiku) vyombo vya dola vinaongoza bomoa bomoa eneo la Magari...
  11. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar: Ushindi wa Marekani dhidi ya miungano ya kikomonisti

    Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev. Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki ya mbali alikuwa amebakiza China na Tanzania. Hatimaye, mbinu iliyoboreshwa kutoka ile ilivyotumika...
  12. Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya UN kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Urusi hivi ndivyo mambo yalivyo huko Kyv, Ukraine

    USELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
  13. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

    Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na...
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi Dhidi ya Tanzania

    Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali. Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi mabaya ya viongozi. Iwe ni ubadhirifu wa pesa ya umma, kwa kiasi kikubwa unafanywa na viongozi na...
  15. Street brain

    JamiiForums Tanzania Natamani kikosi cha Yanga kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye CAFCC

    Natamani kikosi kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye kombe la CAF 🤗 1. Diarra 2. Djuma shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Mwamnyeto 5. Bacca 6. Bangala 7. Morrison 8. Sureboy 9. Mayele 10. Mdathir 11. Msonda Baadae atoke Musonda, Mdathir, Sure Boy , Morrison weka, Moloko, Mzize, Kisinda, Aziz Ki...
  16. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  17. N

    JamiiForums Tanzania Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

    Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga. "Shauri...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mafisadi ndiyo chanzo cha chuki dhidi ya mawaziri wa wizara ya Nishati

    Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi dhidi ya Makamba jr, waziri wa nishati wa sasa. Mpk wabunge wamo ktk Mkumbo huu. Eti wanasusia...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger

    Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu itakayodumu miaka mitano. Wapigwe magoli ya chenga za maudhi kama ya Chama au mishuti mama mkanye...
  20. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwekezaji Kwenye Nafsi Yako: Elimu Na Utawala Bora Kama Kinga Dhidi Ya Hatari

    UWEKEZAJI KWENYE NAFSI YAKO: ELIMU NA UTAWALA BORA KAMA KINGA DHIDI YA HATARI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Karibu katika makala hii kuhusu "Uwekezaji kwenye Nafsi Yako: Elimu na Utawala Bora kama Kinga Dhidi ya Hatari". Jambo la muhimu zaidi ni uwekezaji kwenye nafsi yako. Hii inamaanisha...
Back
Top Bottom