Stori ya huyu kijana imeniumiza sana, ama kweli wanawake legezeni kamba kuwanusuru vijana waliobakia dhidi ya hili janga la wanawake toleo jipya

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,725
6,782
Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi.

Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo aliniomba sana appointment kunielezea niweze kumnusuru na kufukuzwa kazi ila nikapotezea sikutaka kujihusisha nae kabisa. Mwishowe dogo alifukuzwa kazi.

Last week nipo zangu sinza namwagilia kdg huku nasubiri wadau wanijoin kumbe na dogo alikua mahali pale (inasemekana hata huyo shoga alokamatwa nae nae ni wa hukohuko sinza). Dogo akaja kunisalimia pale mie nikaitikia lkn ni ile ya kumpotezea tu sababu sikutaka kabisa kuhusika na scandal yake ile. Dogo akanisihi nimsikilize nami kwa ustaarabu tu sikutaka kumfukuza, nikaona nimsikilizr. Aisee dogo aliongea mengi hadi akawa analia.

Kiufupi anasema yeye hajawahi kutongoza dem akamkubalia, dogo ni hawa type ya vijana watanashati na gym za hapa na pale, instagram kwa sana. Lakini anakwambia anahisi alizaliwa na mkosi sababu hajawahi tongoza demu akamkubalia ila huko fb na insta anatogonzwa na hawa vijana wa kiume wenye mionekano ya kike kike (mashoga), hadi mtaani kwake hao mashoga wanamsumbua balaa wanataka awale. Alienda mbali akasema kuna dogo mmoja alikua rafiki yake tu, siku moja akagundua huyo dogo kwenye simu yake kamsave jamaa eti 'Mume wangu' jamaa alipojua hakutaka kureact, siku moja huyo dogo akamuwekea mtego jamaa ili amkamue.

Dogo aliongea mengi sana akasema hata hio kesi pale kazini ni kwamba kuna shoga mmoja mtoto wa kishua sana alimtaka jamaa ila jamaa kule kuchomoa ndipo dogo likaamua kumkomesha kwa kutuma chats zao kwa secretary wa mkuu wetu pale kazini.

kiukweli utaona chanzo kikubwa ni huyu dogo kukataliwa na wanawake, na ulipotokea mwanya wa wanawake toleo jipya akaona aruke nao. Nawaombeen wanawake na mabinti, wapeni assist hawa vijana wanapotezwa na wanawake toleo la pili (mashoga)

Yangu ni hayo tu.
 
Anahitaji councelling huyu
 
Mtanashati ana kazi wanawake wanajiuza mpaka elfu tatu.

Na ugumu huu wa maisha eti atongoze mwanamke akataliwe!

Nadiriki kusema hii ni
chai.gif
 
Vistori vya hovyohovyo visivyo na maadili msivilete humu,ujinga ujinga mwanaume kuonewa huruma kisa kukosa mwanamke kitu ambacho sio kweli.. hapa Kuna biashara inataka iendelee tu hivyo basi Moderator futeni huu Uzi Maxence Melo.
Ficha ujinga wako chief.

Hili ni janga vijana wa siku hizi wako emotionally weak, sio kama sie tulokulia enzi za wazee walosomea shule za wajerumani, vijana inabidi wasaidiwe
 
Nawewe ficha upumbavu wako unakuja hapa unatetea vitu vya hovyo huo utu uzima wako ndo upo wapi..? Hivyo ndivyo ulivyofundishwa kulea mtoto wakiume..?
Ujinga ujinga tu hivi kwa akili yako kweli huyo jamaa akose mwanamke ndo akatembee na mashoga nonsense kabisa
 
Uzi unasema mashoga wanamtongoza, wewe umebadili mada kabisa.

Na sio kwamba namtetea, nimeleta watu wajadili

Na siku zote mtu anaetumia offense kufikisha hoja yake kama wewe ni dhaifu sana.
 
Anawapenda hao mashoga ndio maana yupo nao karibu, mpaka wanamsave mume wangu😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom