Natamani kikosi cha Yanga kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye CAFCC

Street brain

JF-Expert Member
Oct 24, 2022
484
606
Natamani kikosi kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye kombe la CAF 🤗

1. Diarra
2. Djuma shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Mwamnyeto
5. Bacca
6. Bangala
7. Morrison
8. Sureboy
9. Mayele
10. Mdathir
11. Msonda

Baadae atoke Musonda, Mdathir, Sure Boy , Morrison weka, Moloko, Mzize, Kisinda, Aziz Ki.

Na kiatu tunabeba🔥🔥🔥🔥
🙌🙌🙌Hapo FT YANGA bingwa wa CAF✊🏼💪🏼💪🏼
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
Natamani kikosi kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye kombe la CAF

1. Diarra
2. Djuma shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Mwamnyeto
5. Bacca
6. Bangala
7. Morrison
8. Sureboy
9. Mayele
10. Mdathir
11. Msonda

Baadae atoke Musonda, Mdathir, Sure Boy , Morrison weka, Moloko, Mzize, Kisinda, Aziz Ki.

Na kiatu tunabeba
Hapo FT YANGA bingwa wa CAF
Toa Djuma weka JOB
 
Back
Top Bottom