dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vita vya Gaza ni mwendelezo wa vita dhidi ya Uislamu kwa mtindo mpya

    Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda. Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia. Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mamelodi Sundowns Wanapaswa Kuthibitisha Ubora wao Dhidi ya Yanga SC

    Pamekuwa na kelele kibao na lukuki kuhusu Ubora na Ukubwa wa Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini. Hata hivyo dhana hiyo imejengeka mno machoni pa watu kwa sababu ya Ufanisi wao wa kucheza pasi nyingi zisizo na msingi katika dakika 90 za mpira. Sasa wamepata fursa nyadidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  4. JamiiForums Tanzania Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana. Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na...
  5. JamiiForums Tanzania Naiona Simba ikiangusha point nyingine dhidi ya Coastal hapo kesho

    Kwa moto ambao Azam walipelekewa na Coastal Union, Simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho. Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
  6. JamiiForums Tanzania Raia wa Iran waomba Israel ilianzishe dhidi ya uongozi wa Ayatollah, wao watamaliza

    Ikumbukwe juzi kwenye uchaguzi wa Iran, waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana, yaani makundi ya watu wachache sana, watu wamechoka uongozi wa kikatili wa kidini, wanataka demokrasia ya kweli, hata timu yao ya taifa ilipofungwa walishabikia sana. Wameomba Israel ianzishe vita dhidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Iran yalalamika kwa kichapo kinachoendelea dhidi ya Yemen na magaidi wa Houthi

    Mabomu yanashushwa kama mvua, imebidi Iran itoe neno..... Iran has condemned the latest strikes by the United States and Britain on Yemen, saying they were seeking to “escalate tensions and crises” in the region. The condemnation comes after American and British forces carried out fresh...
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

    Game kali Sana,mwarabu bado kidogo apelekewe moto. Mechi iishe draw,yanga --- Mchezaji wa Al Ahly El Shahat aisaidia timu yake kushinda bao 1-0 ugenini dhidi ya Mabingwa wa Ghana Madeama baada ya kufunga bao pekee la ushindi katika dakika ya 48 ya mchezo. Kwa ushindi huu Al Ahly...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani dhidi ya Houthi hayawezi kumaliza mgogoro katika Bahari Nyekundu

    Marekani na Uingereza zimefanya mashambulio mfululizo ya anga dhidi ya maeneo kadhaa yaliyolengwa ya kundi la Houthi la nchini Yemen hivi karibuni, lakini kundi hilo linadai kuwa, halijayumbishwa na mashambulio hayo na kuahidi kulipiza kisasi. Wachambuzi wanasema, mashambulio hayo ya kijeshi...
  11. JamiiForums Tanzania Sarafu Afrika zenye nguvu dhidi ya Dollar

    Top African currencies from the strongest to the weakest as of 15th February 2024 in comparison with the USA Dollar 1 USD = 1. Tunisian Dinar: 3.15 2. Libyan Dinar: 4.85 3. Moroccan Dirham: 10.06 4. Ghanaian Cedi: 12.45 5. Botswana's Pula: 13.73 6. Seychelles' Rupee: 13.33 7. Eritrean...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi kadhaa duniani zaanza kuchukua hatua dhidi ya Israeli juu ya operesheni yake ya kijeshi huko Rafah ambayo yaua wapestina wengi

    Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4 Operesheni hiyo imeanza kutoa idadi kubwa ya vifo vya wapalestina pamoja ya idadi ingine ya vifo inotokea katika Ukanda wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa

    Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa. Watoto wanakumbana na changamoto nyingi katika jamii, ikiwa ni shuleni, nyumbani, na hata mitaani. Watoto wanaweza kuteswa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kimwili, kihisia, kiakili, na kingono. Ukatili wa kihisia unaweza...
  14. JamiiForums Tanzania EPL: Arsenal yashinda 6-0 dhidi ya West Ham

    Klabu ya Arsenal imeibugiza West Ham kwa mabao 6-0 katika mchezo wa ligi kuu england maarufu kama EPL. Mpaka mapumziko Arsenal ilikuwa mbele kwa mabao manne kwa nunge, huku mabao hayo yakifungwa na Saliba dakika 32, Saka dakika ya41 kwq penati, Gabriel 43 na Trossard dakika 45+2. Kipindi cha...
  15. JamiiForums Tanzania Iran imejitetea sana kwamba haikuhusika, na imewakana wote waliofanya mashambulizi dhidi ya USA

    Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje......... Si Iran imewatelekeza? Iran denies involvement in drone attack on US in Jordan The Iranian government on Monday distanced itself from the kamikaze...
  16. JamiiForums Tanzania Ronaldo kuikosa mechi dhidi ya Inter Miami

    Taarifa ya Al Nassr imethibitisha kuwa nahodha wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hatokuwa sehemu ya Mchezo siku ya kesho dhidi ya Inter Miami CF. Sababu iliyowekwa wazi ni kuwa, Staa huyo wa Ureno Jeraha lake limeonekana bado halijapona kikamilifu kama ilivyoarifiwa awali. Nini maoni yako?
  17. JamiiForums Tanzania Sina mashaka na tuhuma dhidi ya TB Joshua

    Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa. TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu. Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua alikuwa nabii wa uongo. TB Joshua amechangia pakubwa sana kuharibu ufalme wa Mungu. Biblia inasema wazi...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamia waandamana kupinga Mauaji ya Kikatili dhidi ya Wanawake

    KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024. Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Mbona waarabu wameogopa kujiunga kwenye kesi ya SA dhidi ya Israel kule ICJ

    Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel..... Last Friday, the International Court of Justice (ICJ) concluded the first hearing of the South African case...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

    Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja. Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea. Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana). Jana wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…