Iran yalalamika kwa kichapo kinachoendelea dhidi ya Yemen na magaidi wa Houthi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Mabomu yanashushwa kama mvua, imebidi Iran itoe neno.....

Iran has condemned the latest strikes by the United States and Britain on Yemen, saying they were seeking to “escalate tensions and crises” in the region.

The condemnation comes after American and British forces carried out fresh strikes against 18 Houthi targets in Yemen yesterday, in response to a wave of attacks by the Iran-backed terror group on Red Sea shipping.

“With such attacks, America and Britain seek to escalate tensions and crises in the region, and expand the scope of war and instability,” Iran’s foreign ministry spokesman Nasser Kanani says in a statement.

Hata USA analalamika Avdiivka kuchukuliwa na taifa teule la Urusi.
 
Mabomu yanashushwa kama mvua, imebidi Iran itoe neno.....

Iran has condemned the latest strikes by the United States and Britain on Yemen, saying they were seeking to “escalate tensions and crises” in the region.

The condemnation comes after American and British forces carried out fresh strikes against 18 Houthi targets in Yemen yesterday, in response to a wave of attacks by the Iran-backed terror group on Red Sea shipping.

“With such attacks, America and Britain seek to escalate tensions and crises in the region, and expand the scope of war and instability,” Iran’s foreign ministry spokesman Nasser Kanani says in a statement.
Tokomeza Magaidi wapenda Bikra
 
America anarusha maboom hajui anarusha wapi 😄

Yemen hana history ya kushindwa vita leo America kapigiwa meli yake ya kivita atakimbia tu Yemen kama alivyo kimbia Muingereza, Mturkey, Msaudi Arabia na sa zamu ya America
 
Ukiona anapigwa mwingine halafu anayelia ni mwingine ujue sindano imegusa mfupa. Katika dunia hii anayeongoza kwa unafiki ni Iran, Kila sehemu anatuma vifaa na watu wake. Sasa Taarifa zinamfikia watu wake wanaendelea kupukutika
 
Mkia ukibondwa lazima kichwa kihisi maumivu! Bichwa limejitokeza lenyewe live!
 
Yemen watandikwe tu, dawa ya gaidi ni kifo siyo kufungwa jela. Liwe la kike, toto, zee gaidi dawa ni ile ile piga ua galagaza.
 
Back
Top Bottom