Mwanamke hasomeshwi, wanaume mnafeli wapi? Ona wanaume acheni kuwa dhaifu

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.

Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha. Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake.

"Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine.

Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha. Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe.

Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo kama yeye.

Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.

FB_IMG_1680161650053.jpg
 
Mwanamke Pumbavu wangapi wamekufa kwa njia hio bado unakuwa na kichwa cha kuku hujifunzi, kilasiku unasikia mwanamke kabigwa risasi kwasababu hio still wewe unaenda kufanya Hilo.

Mwanaume anapata dhambi ya kuua ila pia haiondoshi ujinga wa mwanamke kuwa mpumbavu unajitengenezea mazingira ya kuuliwa ambayo unayasoma kilasiku Mtandaoni.
 
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Hii habari ni ya muda kidogo ila kuna la kujifunza ,japokuwa wote wamezingua .
 
Mwanamke Pumbavu wangapi wamekufa kwa njia hio bado unakuwa na kichwa cha kuku hujifunzi, kilasiku unasikia mwanamke kabigwa risasi kwasababu hio still wewe unaenda kufanya Hilo.

Mwanaume anapata dhambi ya kuua ila pia haiondoshi ujinga wa mwanamke kuwa mpumbavu unajitengenezea mazingira ya kuuliwa ambayo unayasoma kilasiku Mtandaoni.
Laiti ungejua kuwa mwalimu wa wanawake ni kipofu,usingewalaumu.
 
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo maliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Asante Mungu 😂😂😂😂🥳🥳🥳🥳🥳


Roho yangu imetulia hiyo ndio dawa yao tu huyo Patrick popote alipo Mwenyezi Mungu amsamehe na azidi kumbariki

Kwa kuua baadhi ya wanawake ambao hawahitaji kuishi duniani 😁😁😁😁
 
Kuna jamaa nilimsikia kwenye radio RFA Jumapili iliyopita akisimulia sito sahau yake. Anadai kuna binti alikutana nae tu analia kisa wazazi wake wameshindwa kumuendeleza kimasomo basi jamaa akaamua kumsomesha na akafanikiwa kufaulu kwenda chuo. Sasa yule binti baada ya kwenda chuo akampotezea jamaa mpaka leo
 
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo mi kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Binti mwenyewe hana hadhi ya kuwa PISI KALI sema tu ndiyo vile kisa kahitimu Chuo Kikuu.

Kweli "Maskini akipata matako hulia mbwata."

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo uti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Kuna mawili.

1. Msomeshe mwanamke kama kumsaidia tu kwenye maisha yake ila sio kwa kutegemea positive return kama mdoa au mapemzi maana hawa viumbe huzuzuka na vitu na sio utu.

2. Usimsomeshe kabisa hasa ukiwa na pesa za mawazo maana utaua au utakufa wewe.

Mwanaume timamu kiakili hawezi msomesha mwanamke. Mbaya zaidi ukute wewe mwenyewe ni form 4 lever kama huyu askari halafu unamsomesha mwanamke hadi chuo kikuu, huo ni ubogazi. Mwanamke hupenda mtu mwenye hadhi. Ukiona uko nae wewe halafu huna hadhi kumzidi jua hajakupenda ila kuna kitu kakifuata kama pesa au kupekewa moto.

Jifunzeninkutoka kwa watu maarufu kama akina mond, majizo, vunja bei nk. Husikii wanasomesha mwanamke japo wana uwezo wa kumsomesha mwanamke na ukoo wake wote.

Tatizo kuna wanaume hufikiri wao ni wa kwanza kupenda, wanataka mwanamke awaone wa maana kwa kumsaidia sanaaa.

Ukiona uko na mwanamke halafu wewe ndio unajikomba komba kwake sanaa, yaana furaha yake hadi umpe vi zawadi zawadi, vipesa, yaana hadi umfanyie kitu ndio akuone wa maana, basi jiandae kuumizwa. Vitu havijawahi kuisha kila siku kuna vitu vipya. Ndio maana kila mwaka kuna matoleo mapya ya iPhone na Samsung.

Ukifika wakati ukashindwa kumpa vya juu zaidi kuna mtu atampa na ndiye atakae mthamini.
 
Kuna jamaa nilimsikia kwenye radio RFA Jumapili iliyopita akisimulia sito sahau yake. Anadai kuna binti alikutana nae tu analia kisa wazazi wake wameshindwa kumuendeleza kimasomo basi jamaa akaamua kumsomesha na akafanikiwa kufaulu kwenda chuo. Sasa yule binti baada ya kwenda chuo akampotezea jamaa mpaka leo
Aliamua kujipa majukumu yasomuhusu. Akome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache tu wauwane wakatane mbaka na vichwa tushaongea tumepiga kelele kwenye vikao lakin wap watu hawasikii
Mwanamke hasomeshwi nini kisichoeleweka hapo wazazi wake wenyew wameshindwa kumsomesha wewe ndo nani kumbafu kabsa
 
Na ukisomeshwa na mwanaume jua yanayofatia ni masimango na kusemwa kwa watu nilimsomesha
 
Waache tu wauwane wakatane mbaka na vichwa tushaongea tumepiga kelele kwenye vikao lakin wap watu hawasikii
Mwanamke hasomeshwi nini kisichoeleweka hapo wazazi wake wenyew wameshindwa kumsomesha wewe ndo nani kumbafu kabsa
Uzi ufugwe
 
Back
Top Bottom