deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

    Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104 Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Usiku wa deni haukawii kucha. Wananchi kumbukeni hili siyo kombe la loser

    Kumekucha! Mwisho wa kuucheza mpira mdomoni ilikuwa jana. Leo tunasubiri vitendo, zile 5 mlizokuwa mnafunga kwa mechi ya mdomon ubavu mnao wa kuzifunga kwenye dimba la ukweli?
  3. Jugado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

    Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m. Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha. Wadau nipo...
  4. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuhakiki ikiwa gari Iina deni la Polisi kabla ya kununua

    Hiyo itaepusha usumbufu wa kununua gari kisha kukuta Lina madeni mengi. Madeni ya Parking na ya faini za Polisi.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa UDOM adai Bodi ya Mikopo inamlipisha deni la chuo ambacho hajawahi kusoma

    Naitwa Richard M. Philemon, Mwaka 2008 baada ya kuhitimu form six, niliomba vyuo mbalimbali kikiwemo UDSM, lakini wakanipanga Mkwawa University College of Education (MUCE Iringa), sikwenda katika chuo hicho kutokana na sababu kadhaa za kifamilia na nilitoa taarifa. Mwaka mmoja baadaye nikaomba...
  6. Candela

    JamiiForums Tanzania Mshahara ni deni

    Leo niwasanue wadau, kuna mtu kagombana na boss wake kwa kuwa hakwenda japo aliomba ruhusa lakini ofisi ikawa na kiherehere kutaka kujua kwa nini hakufika. Binafsi nikamshauri aseme tu hakuwa na pesa, akaniambia lakini nimepokea mshahara hata wiki 2 hazijaisha wakiniuliza ntajibuje...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola kutaongeza Deni la Taifa kwa karibu Tsh. Trilioni 2

    Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi. Hali hiyo ina athari hasi katika uchumi wa nchi kwa sababu hivi sasa inahitajika shilingi nyingi zaidi ili kupata Dola...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ajiua baada ya kushindwa kulipa deni la 520000/=

    MWANAUME wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha Manyata katika Kaunti ya Murang’a, anadaiwa kujitoa uhai kwa ajili ya kukwepa deni la Ksh 30, 000 ambayo ni sawa na Sh 520, 000 za Tanzania ambalo linadaiwa kuwa ni rushwa kwa polisi wa Kituo cha Sabasaba. === Mwanaume wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

    Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
  10. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

    Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ? Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kutatuliwa kwa tatizo la deni la Ghana ni aibu kwa nchi zilizokuwa zikiishutumu China

    Katika miezi ya hivi karibuni vyombo vya habari vya Ghana na vyombo vya habari vya kimataifa vimekua vikiripoti habari nyingi kuhusu msukosuko wa deni la Ghana, msukosuko ambao umeifanya Ghana kuingia kwenye hali ngumu, ambayo suluhu pekee ni kujadiliana na wakopeshaji wa kimataifa, ili...
  12. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umefika wakati wa kujikwamua kutoka kwenye misaada isiyoheshima

    Picha: Swahilitimes UTANGULIZI Mara nyingi sana mataifa maskini yamekopa kwa mataifa yenye uwezo lakini hatukuwahi kuona nchi tegemezi zikijikwamua katika hali zake duni za kiuchumi kupitia misaada zinayopewa kwani misaada mara zote hudumaza. Tukitathmini kwa makini tutagundua hata katika nchi...
  13. Scars

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ally Kamwe ameshindwa kuthibitisha kama Lucy Eymael amelipwa deni lake?

    Nimesikia mahojiano ya simu yaliyofanywa kwenye kituo kimoja cha redio cha Wasafi kufuatia tetesi zinazoenea za Yanga kufungiwa usajili. Ally Kamwe ameonekana kusikitishwa na uvumi huo na kuuita habari za uongo. Lakini hoja aliyotumia kupinga tetesi ni kwamba taarifa hiyo haijatolewa na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga hampo serious kweli imeshindikana kulipa deni la aliekua kocha wetu Luc Eymael

    Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA. Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya kupoteza muelekeo. Fanyeni hima mumlipe pesa zake aliekua kucha wetu Luc Eymael. Au ndio mmeshapoteza...
  15. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Deni la Taifa limeongezeka hadi Tsh. Trilioni 79.19, bado ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba hadi kufikia mwezi Aprili 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Niwalipe au niuze deni la Bodi ya Mikopo?

    Ipo hivi, mimi ni Mtumishi wa Serikali idara elimu, daraja langu ni E, nakatwa kiasi cha laki Moja na elfu arobain na nane mia tano (148,500/) kwa kila mwezi kama malipo ya deni la Bodi ya Mkopo. Kwa sasa nikisoma deni langu kupitia salary slip ni millioni tatu na nusu. Katika mazungumzo yangu...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  18. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Kumbuka, Hudaiwi Kitu Na Mwanamke Usiyemjua Wala Yeye Hakudai Kitu.

    Usijihisi labda una deni kwake. Usijihisi kuna kitu inabidi umfanyie. Usijihisi usipompa chochote kitu atakua hakupendi. Hapana. Tambua kuwa huyo mwanamke ni kama mtu mwingine. Ukiona mawazo ya hivyo yanakujia, kwamba, inabidi umpe hela/ chochote sababu amekupa muda wake au ili upate muda wake...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wataka Deni la TPDC Lilipwe

    WABUNGE WATAKA DENI LA TPDC LILIPWE Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dunstan Kitandula akiwasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo Jumatatu Mei 31, 2023. Wabunge wataka...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka deni la Tsh. Bilioni 720 la TPDC lilipwe

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Serikali kulipa deni la Sh720 bilioni mauzo ya gesi kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwenda Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambalo linaendelea kukuwa. Hayo yamesemwa leo Mei 31, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
Back
Top Bottom