deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

    Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !! Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Supplier wangu Muhindi aliekuwa na deni la Bilioni 80 kalimaliza, Nimekaa na kutafakari hawa watu wapo serious na biashara, bado tuna safari ndefu

    Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana ila ni supplier mikoani + exports nje ya nchi, Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

    Habari wadau. Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao. Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM na deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

    Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
  5. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanganyika usiku wa deni haukawii kukucha.

    Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

    Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuanza makato upya baada ya Miaka minne kumaliza deni!

    Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?. Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya...
  10. second9

    JamiiForums Tanzania Hongera! Bodi ya mikopo HESLB ukizidisha malipo wanarudisha!

    Wakuu, Nimeona nitoe hii habari humu ili mtu asije kukata tamaa kwa maneno ya mtaani. Nilizidisha kama laki nne hivi kwenye kulipa deni la bodi ya mkopo. (HESLB) Sasa ilipofika nataka kufatilia wanilipe kila niliyemwambia alisema niachane nao huwa hawalipi. Sasa siku moja nikaenda pale bodi...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Deni la Serikali limefikia Tsh. Trilioni 96.8

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya kiasi hicho, deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 31,951.24 na deni la nje lilikuwa shilingi...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42

    Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru. Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa. Halafu ndani ya miaka...
  13. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Deni la Serikali ya Tanzania Lafikia Trilioni 98

    Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na...
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Mboni Mhita: Mkandarasi aliyeng'oa milango kisa deni aliirudisha na shughuli zinaendelea kama kawaida

    Imeelezwa kuwa milango ambayo iling’olewa na Mkandarasi katika Kituo cha Afya cha Bulige, Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, ilirejeshwa na shughuli zinaendelea kama kawaida. Awali Mkandarasi aling’oa milango kwa madai ya kuwa hajalipwa gharama za kazi yake kutoka kwa Ofisi ya Mkurugenzi, Mkuu...
  16. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania TFF kuilipa kampuni ya Romario Sports 2010 Limited Tsh. Milioni 843 za Deni na Fidia

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefikia makubaliano nje ya mahakama katika shauri la madai lililokuwa limefunguliwa na kampuni ya Romario Sports 2010 Limited, kwa kuilipa kampuni hiyo deni pamoja na fidia. Kulingana na hukumu ya makubaliano (consent judgement) iliyotolewa na Jaji Isaya...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Ali Kamwe jitahidi kadri uwezavyo ulilipe Kiutendaji zaidi Deni la wana Yanga SC wengi Waliokukulia na Kukuamini, ila kaa mbali na Manara

    Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
  20. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
Back
Top Bottom