darasa

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sungusungu wa Shinyanga wapewa jukumu kuzuia ndoa za wahitimu la Darasa la 7

    Jeshi la Jadi (Sungusungu) Manispaa ya Shinyanga na Wilaya ya Shinyanga limepewa jukumu la kuhakikisha hakuna ndoa ya utotoni ya mwanafunzi yeyote aliyehitimu darasa la saba mwaka huu. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko aliwakabidhi jukumu hilo juzi wakati wa kusimikwa viongozi wapya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

    Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo. Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
  4. mens12

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwezi kusahau siku ambayo ulikua unafanya mtihani wa Darasa la Saba? Ndani na nje ya chumba cha mtihani

    Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania mkeka. Ilikua hivi, mtihani wa hesabu. Boni alikua mzuri kwenye hesabu hivyo Hasani akawa anakopi...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wenye mahitaji maalum waongezewe dakika mitihani ya darasa la 7, kesho Oktoba 5, 2022

    Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi, amewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho Oktoba 5, kulinda haki ya watahiniwa wenye mahitaji maalum kwa kuwapatia mitihani yenye maandishi ya nukta nundu kwa wenye uono hafifu. Na kwamba watahiniwa...
  6. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

    Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2000 ulikuwa darasa la ngapi?

    Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka.
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, tutumie Msiba wa Malkia kama darasa somo la Organization, Simplicity, Humility na Humbleness au tukomae na misafara yetu na ubosi wetu?

    Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali. Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
  9. Poker

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na monitor wangu wa darasa amechoka, yaani amechakaa kinoma!

    Milima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town. Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika...
  10. A GIRL OF THE GIRLS

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtihani wa darasa la saba kisiwe kipimo cha mwisho cha uwezo wa akili kwenye elimu

    Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na umri mdogo. Kwa hiyo wengi wao wanakuwa hawajatambua ni njia gani watumie katika kusoma ili kufanya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaspoti: George mpole darasa la saba 2005, sua 2010

    naaam niko hapa napitia mahojiano ya ya mpole na makanjanja ya mwanaspoti mambo ni bull bull
  12. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania SHAKA: Igunga ni shamba darasa kwa miradi ya maendeleo

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kwa usimamizi mzuri wa Fedha za Miradi ya Maendeleo na kuiita ni "Shamba Darasa la Miradi ya Maendeleo". Ndg. Shaka (MNEC) ameyasema hayo akiwa kwenye Kituo cha Afya...
  13. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Wastani katika chumba kimoja cha darasa ni wanafunzi wangapi na choo tundu moja wanafunzi wangapi?

    Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120. Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Je, unaweza kumfundisha mwanao hesabu hadi darasa la ngapi?

    Tuseme Mtoto wako anapenda hesabu Ile balaa na anataka msaada wa baba/ mama. Je, wewe kama mzazi unaweza kumpigia namba mpaka darasa la ngapi bila kudesa?
  15. Razmax

    JamiiForums Tanzania SoC02 Darasa la Maisha

    DARASA LA MAISHA Nikiwa kijana mdogo, kila wakati niliambiwa niote ndoto kubwa. Hata hivyo, haikuwa hadi nilipoanza kwenda chuo ndipo nilipogundua kuwa ulimwengu halisi ni mgumu zaidi kuliko kile nilichokuwa nimekifikiria. Somo la kwanza nililojifunza ni kwamba si kila mtu atakupenda. Watu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Mada hapo juu yahusika. Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno. Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza. Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Darasa la Loliondo.

    Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza. 1. Habari/Media. Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
  18. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Wakuu kwema! Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka. Juzi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua darasa zuri la Kichina jijini Arusha

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita. Natanguliza shukrani.
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mshume Kiyate katika Kurasa Darasa cha TBC 1

    MSHUME KIYATE KATIKA KURASA DARASA TBC1 Katika mahojiano yangu na mtangazaji Maureen Minanago wa TBC1 mtayarishaji wa kipindi Kurasa Darasa tukizungumza kuhusu utunzaji wa kumbukumbu nilimwonyesha picha ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere iliyopigwa mwaka wa 1964 baada ya maasi ya...
Back
Top Bottom