darasa

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

    Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo. Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu...
  2. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

    Habari zenu wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani. Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
  3. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliomaliza darasa la Saba 2021/wamepangiwa shule?

    Wakuu habari, Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa wanatoa kwa awamu majina
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Niger: Watoto wapatao 25 wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto

    Watoto wapatao 25 wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto Wengine kadhaa walijeruiwa wakati wa ajali hiyo ya moto ambayo ilitokea Jumatatu asubuhi wakati watoto wakiwa darasani wakisoma katika shule iliyopo eneo la Maradi. Chanzo cha moto huo bado...
  5. Display Name

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Darasa la Saba aliyefanya mtihani akiwa Mahabusu afaulu kwa kupata Daraja B

    Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B. Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyefeli darasa la Saba anaweza kurudia darasa katika shule ya Serikali nyingine?

    Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia darasa kwenye shule ya Serikali? Kama inawzekana process zake ziko vipi? Natanguluza shukrani!
  7. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa kumfundisha Mwanangu anayetarajia kuingia darasa la tano mwakani

    Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta mwalimu mzuri aliyebobea katika ufundishaji kwaajili ya kumfundisha mwanangu ambaye mwakani anatarajia kuendelea darada la tano maana amemaliza kufanya Necta juzi tu hapa. Kwa sasa dogo yupo tu...
  8. orturoo

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu matokeo ya darasa la saba yaliyozuiliwa (withhold)

    Habari za leo wadau wa jf ,bila shaka weekend imekaa poa. Naomba mwenye uelewa kuhusu kushikiliwa (withhold) kwa matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule ,je ni nini hatma ya wanafunzi na vituo vilivyofungiwa? Naomba mwenye uelewa wa mambo hayo.
  9. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021. Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu kesi ya Mbowe: Jaji Luvanda, Siyani, Tiganga, wamesoma darasa moja UDSM, pia wamesoma pamoja na Deputy DPP!

    Je wajua? Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga darasa kutokana na fedha za COVID-19

    TAMISEMI imetoa maelekezo kuwa gharama ya kujenga darasa moja kwa fedha za msaada wa Covid-19 ni Tshs.20,000,000. Kama majengo haya yatajengwa na Wakandarasi waliosajiliwa naona haya hayakutiliwa maanani:- (1) Mkandarasi aliyesajiliwa anapolipwa lazima akatwe withholding tax ambayo ni 10% ya...
  12. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye elimu nje ya darasa

    Kusema kweli kabisa, yapo mengi SANA ya kujifunza baada ya kuwa tumemaliza elimu ya kufanyia mitihani na kupatia vyeti. Hata kama utasoma ukurasa mmoja kwa wiki, Hakuna tatizo. Lakini iko faida kubwa kuliko kutosoma kabisa. Kwa miaka karibia 40 sasa, tumeambiwa: Ukimwi unasababishwa na HIV...
  13. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Elimu nje ya darasa mbali na walimu

    Ni jambo jema sana kujisomea. Kipengele muhimu sana cha elimu Ni kujisomea baada ya kumaliza shule Nje ya darasa Mbali na walimu Bila kutarajia cheti Bali kwa 'interest' tu Sawasawa na apendavyo mtu. Kuna wanaopenda hadithi Kuna wanaopenda biashara Kuna wanaopenda teknolijia Kuna wanaopenda...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kukosea ni Darasa la Kuvuna Faida

    Ukweli ni kwamba, mwanadamu ana mipaka ya uwezo katika utendaji wake; yani mwanadamu ana mapungufu katika namna moja ama nyingine, hivyo kushindwa kufanya mambo fulani kwa ukamilifu- hivyo hukosea (au kufanya makosa). Na hili ni dhahiri katika nyanja zote tu zinazohusu maisha ya mwanadamu...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba waanza Mitihani

    JUMLA ya wanafunzi 1,132,143 wa darasa la saba waliosajiliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), leo na kesho watafanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mitihani hiyo Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles...
  16. T

    JamiiForums Tanzania RC Homera anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la 7-Mbeya

    "Niwatakie kila la kheri Wanafunzi wote wa darasa la saba mkoani Mbeya katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi." Mhe Juma Zuberi Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ije na Programu Maalum kwa Wanafunzi wanaomaliza Darasa la Saba Kipindi kirefu wakisubiria Matokeo yao

    Wanafunzi kumaliza Mitihani yao ya Darasa la Saba Mwezi Septemba na Kuwaacha tu wanarandaranda Mitaani hadi Mwezi Disemba majibu yao yakitoka ni Hatari mno Kwao. Nitoe Kongole kwa baadhi ya Shule ambazo zilishaiona hii Hatari na kwamba Wanafunzi wao wakimaliza tu Darasa la Saba kuna Program...
  18. B

    JamiiForums Tanzania CCM inawatakia kila la heri kwenye mitihani yao wanafunzi wote wa darasa la 7

    CCM inawatakia heri wanafunzi wote wa darasa la 7 wanaoanza mitihani yao leo
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

    Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili. Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Darasa la biashara

    Karibuni kujifunza biashara. Ni muda mrefu sana toka niwe humu na kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha, sikuweza kutumia kabisa social platforms yoyote. My name is Maedson Mahonge (Mtanzania). Na mtaalamu wa biashara ndogo ndogo kwa kutumia social networks ikiwemo jamiifolum, Websites and...
Back
Top Bottom