darasa

  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

    Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vijana Mradi wa YAM wapewa darasa walime parachichi, watatoka kwenye umasikini

    Mkulima Mjasiriamali wa Kilimo cha Parachichi Katika Kijiji Cha Igoda Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Aidan Kiwale amewataka vijana kutoka mazingira magumu ambao wapo kwenye mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Parachichi kwa kuwa kinalipa. Mkulima mdogo wa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makonda angefanya haya kumalizana na GSM, ni darasa la bure kwa watu wote

    Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo bado lipo na halijafikia tamati. Makonda analalamika kuwa amedhulumiwa eneo na mjengo wake eneo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

    Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini. Elimu zao hazisaidii nchi... Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa. Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
  7. hiram

    JamiiForums Tanzania Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

    Kuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo 1. Hakukuwa na Google 2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Darasa na Jux wachukizwa na Harmonize kwa kuwataja kwenye shoo bila makubaliano

    Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya kuyaweka majina yao bila ya kuongea na management zao.
  9. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

    Habari wanajukwaa, Mimi nimekuwa mhanga kwelikweli wa elimu yetu hii ya tanzania hasa huku chini. Juzi TAMISEMI wametoa mwongozo mpya ambao unatakiwa kutumia kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpakakidato cha 6, ambapo kila mwalimu anatakiwa kuandaa kalenda la kufundisha na kwamba wanatak...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi wa Kenya kupata darasa la "medical English" na kuajiriwa Uingereza

    Hawa ni waliofeli English Language Testing System (IELTS) ======= Kenyan nurses who failed English language tests required for immigration to the UK will be supported by the British government to learn ‘Medical English’, an envoy has said. “We are ready to assist Kenyan nurses learn medical...
  11. AjeyTz

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri naweza mpeleka huyu mtoto?

    Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa mtoto wa Darasa la Nne

    Habari zetu wanajamii Forum Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna uwezekano wa kumkaririsha mtoto darasa yaan kama alikuwa darasa la tatu mwaka jana basi aendelee kusoma...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kwa jiji la Dar es Salaam sasa darasa moja wanakaa Wanafunzi 35 - 40 tofauti na awamu iliyopita ambapo walikaa 70 - 80

    Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80. Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa darasa la nne, kidato cha pili na nne umepaishwa ili kuwafurahisha wapiga kura; ushahidi huu hapa

    Watanzania tumerogwa; yaani tunafurahia matokeo feki huku elimu yetu ikizidi kushuka kila mwaka. Aliyeturoga kafa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya matokeo ya darasa la nne (SFNA), kidato cha pili (FTNA) na kidato cha nne (CSEE) kutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hivi karibuni na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate kuongoza mapokezi ya kidato cha kwanza leo Temeke. Kwa mara ya kwanza hakuna aliyekosa darasa

    Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!! Kazi Iendelee 🇹🇿
  16. blogger

    JamiiForums Tanzania Kwanini NECTA haitangazi matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili!?

    Shida ni nini wakuu. Watoto wanashangaa,wazazi tunashangaa. Shida nini??
  17. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Darasa huru katika kesi dhidi ya Mbowe

    Hii kesi ina ya Ugaidi ya makomandoo wa jeshi na kiongozi wa upinzani inayoendelea ina maajabu yake mpaka sasa, mimi nitataja machache, mengine ongezeeni. 1. Ni darasa huru la kuwafundisha polisi namna ya kufanya kazi zao kimaridadi sana, kama ule wimbo wa sigara mkononi, lakini hawana fedha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini mnakataa nchi Kukopa, wakati Kukopa Kwetu kumesaidia kujenga Darasa Zuri linaloonekana katika Gazeti la Nipashe la Leo?

    Ni Darasa zuri sana ambalo Kitaaluma litawafanya Watoto ( Wanafunzi ) Wetu wawe na Akili Kubwa za kuweza kuwafanya Wajenge nchi ili huko mbeleni tusiwe Wakopaji tena. Hongera mno kwa Mpiga Picha hiyo Shaaban Njia ( wa Gazeti la Nipashe ) kwa Picha hiyo nzuri wa Darasa la Wanafunzi kwani Value...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania TCRA haina malaika ya kuzuia Darasa la Uongozi.S

    Siyo kila mtu anayesema ana mamlaka ya kufanya jambo anayo mamlaka hayo. Kile kipindi cha phone-in. Watu walikuwa wanapiga kutoa maoni yao kuhusu kile kipindi. TCRA iliwasikiliza watu wale? Wale watu walikuwa na shukrani sana kwa Polepole. Polepole alikuwa anaongea maneno kama vile ," Mwajibishe...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Darasa huru: fungua website / tovuti yoyote iliyofungiwa, ni njia rahisi ya moja kwa moja.

    Leo natoa somo kwa jamii ya watu wanapatwa na changamoto ya kutumia websites zilizofungwa, hususan kundi lile la watu wanaosafiri nje ya nchi na kukumbana na tatizo la kushindwa kufunguawebsites muhimu zilizofungwa na nchi hio...... - Download Opera browser - Ingia kwenye menu - Ingia...
Back
Top Bottom