Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

Reyan

Member
Aug 29, 2022
28
28
Nawasalimu Kwa jina la JMT.

Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa.

Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo.

Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta walimu wa sekondari kusimamia shule za msingi mmeona mbali.

Ushauri kwa serikali waongezeeni posho ya kusimamia maana KAZI wanaiweza hawa.
 
Hii mitihani ingefutwa tu, maana iko kisiasa tu lengo lao litimie kwa wengi kumaliza form 4
 
Back
Top Bottom