Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting.
Lissu badala...
Mtoto mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo Kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha baada ya kulipukiwa na bomu Agosti 28, 2020.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi wa jeshi la Polisi James...
DARASA LA TANO C: WAZEE WA KUENGUA
Na, Robert Heriel
Leo nitasimulia kwa mtindo wa Filamu. Hii ni filamu ya maandishi. Karibu sana Mpenzi Msomaji.
Picha letu linaanzia katika maeneo ya shule ya Msingi CHIMBAUNYE huko katika kijiji cha SIWATUBORA. Huko ndipo simulizi hii inaanzia, nami Taikon...
Sina nia ya kuwadharau wale wenye elimu ya Darasa la Saba ila ninaandika haya kwa kuzingatia nafasi ya uwakilishi wa Jimbo na unyeti wa nafasi hii. Dunia/Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya 60s. Tunahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja zote ikiwemo katika nafasi za ubunge.
Mbunge ni mtu...
Kuna mtia nia mmoja ni Darasa la Saba ,ana tamaa sana ya madaraka na hatosheki. Alikuwa CHADEMA baadaye akawasaliti na kurudi CCM ili agombee tena ubunge. Anautafuta ubunge muda mrefu sana na hata hatujui ajenda yake hasa ni ipi.
Amewekeza pesa nyingi sababu yeye ni tajiri kwa kutoa vizawadi...
Watu wanapenda matokeo ya haraka, ila ni wavivu kuyatafuta. Wahenga walivyosema ‘Mtaka cha uvunguni, sharti ainame’, walikuwa na maana ya kwamba, unavyokuwa na ndoto za kupata kitu chochote kwenye maisha, ni lazima uweke mipango na mikakati ya kufanikisha azma yako.
Mtu unataka kuwa kiongozi...
Habari za leo ndugu wana jamii forum,
Kiukweli nilianza harakati za siasa nikiwa kijana mdogo sana. Nakumbuka Mwaka 2005 nikiwa na umri wa miaka 13, kipindi hicho nipo darasa la tano ndipo nilipoingizwa rasmi katika harakati za kisiasa.
Mambo yalikuwa hivi, kaka yangu ambaye sito mtaja jina...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Kwa tathimini ya haraka Ubunge umekuwa jambo jepesi sana,niwaombe wabunge watakaopita hasa Ma prof na ma Dr wakakomae bungeni ili wabadilishe vifungu katika katiba kuhusu eneo la uwakilishi iwe kama ifuatavyo:
1. Elimu nikuanzia kidato cha 6 na kuendelea
2. Ubunge uwe na kikomo vipindi vinne...
Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
Kipindi hiki kilibuniwa ili kuwasaidia wanafunzi ktk likizo yao ya muda mrefu iliyosababishwa na mlipuko wa janga la virusi vya corona.
Janga ni kama limeisha, wanafunzi washarejea mashuleni. huko mashuleni wanafunzi wako bize na waalimu wao kutekeleza ratiba za kila siku, na sidhani kama kuna...
"Darasa la 7 wataanza Mitihani Oktoba 7-8, Kidato cha 2 wataanza Nov 9 -20, wanaomaliza Kidato cha 4 na wa kujitegemea, wataanza Nov 23 hadi Disemba 11, na Darasa la Nne wataanza Novemba 25 - 26, 2020 " -Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako.
"Kidato cha 5 wataanza kufanya mitihani Julai 24...
Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge.
Baadaye Naibu...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...
Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
Tafadhali wana JF wenzangu,
Anayeweza kunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina soko kubwa.
WADAU WENGINE WENYE KUHITAJI KUFAHAMU BIASHARA HII
MICHANGO YA WADAU MBALIMBALI
Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania...
Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la pili Shule ya Msingi Jitegemee Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani nchini Tanzania (jina linahifadhiwa kwa sasa) amekutwa amekufa ndani ya nyumbani ambayo ujenzi wake bado haujakamilika.
Mwanafunzi huyo ambaye inadaiwa alipotea tangu Januari 14...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.