darasa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa darasa la pili hili swali kakosaje? Au mwalimu ndiye hajielewi?

    Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu! Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu kawaambia jibu sahihi ni REFARII. Je, jibu sahihi ni lipi hapo? Kosa ni la mtoto au mwalimu ndo hajielewi?
  2. MovingForward

    JamiiForums Tanzania Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

    Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mkuu apewe mamlaka kuruhusu wanafunzi kukariri darasa

    NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao ni wa chini. Katika muda ambao baadhi ya wilaya katika mikoa mbalimbali imekuwa na sera ya...
  4. Protector

    JamiiForums Tanzania Darasa la Saba na Ubunge

    Habari wanajukwaa, Nimekuwa nikijiuliza Maswali mengi sana juu ya utumishi wa wabunge ambao ni darasa la saba. Muongozo wa ajira Serikalini ni kwamba wanaajiri kuanzia kidato cha nne na kuendelea, kama huna cheti cha form four huna sifa ya kuwa mtumishi wa umma. Ninavyoelewa mimi inawezekana...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

    Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi. Mbunge huyo...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

    Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana Siffa za huyu mtu 1. Alikuwa mtoro sana 2. Form 2 alianza kuvuta...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania JamiiForums linaweza kuwa darasa zuri sana la waandishi wa habari wanaoiona fursa hii

    JamiiForums ni darasa huru ambalo kama mtu anatamani kuwa mwandishi bora kabisa wa masuala mbalimbali anaweza kujiona na kufikia viwango vya juu sana. Nashauri waandishi wa habari najaribu kuitumia fursa hii ili kuepusha uandishi holela na kurupushi. Nakiri kujifunza mengi sana yanayohusiana...
  8. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Darasa Huru Part 4: Umuhimu Wa IT Rescue Bag Kwa Fundi Computer/Simu

    Habari zenu wakuu na poleni na majukumu, Leo ningependa tujue umuhimu wa I RESCUE BAG Kwa Fundi Computer Na Simu, Vitu Hivi Ni Muhimu Sana Kwa Fundi Yoyote Anayetaka Kutoa Huduma Express, Delivery Na Outreach. IT RESCUE BAG Ni Mfuko Au Kitu Chochote Kinachoweza Kuhifadhi Vitu Muhimu Ambavyo...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mara: Mwanafunzi wa darasa la 6 aozeshwa kuwa mke wa 3 kwa Mwanaume mwenye miaka 52

    Katika tukio la kushangaza, mzee mwenye umri wa miaka 52 anadaiwa kumuoa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bugire iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara. Vyanzo vyetu vya uhakika kutoka Rorya vimeeleza hivi karibuni kuwa msichana huyo mwenye umri wa miaka 15...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Umri wa kuanza darasa la kwanza uanzie miaka 10, sababu hizi hapa

    Wana JF Makuzi ya binadamu wa mtanzania yanapitia magumu mengi, hivyo pia akili huchelewa kukomaa kupata uelewa wa kujifunza kitu Kwa umakini. Natoa sababu Kwa nini umri miaka 10 ndio unafaa mtoto kuanza la kwanza. 1. Umri ukiwa miaka kumi mtoto anakuwa amekomaa, huondoa woga na anaweza kuhoji...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

    Serikali mkoani Morogoro imeagiza mtoto Charles Mathias mwenye umri wa miaka 6 arushwe darasa kutoka Chekechea hadi darasa la kwanza baada ya kuonyesha kipaji kikubwa kwenye somo la Hisabati. Afisa tawala wa mkoa bwana Kobehelo amesema agizo hilo lianze kutekelezwa mara moja. Naye mbunge wa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

    Daa aise, Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba. Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza. Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China. Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini. Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mtoto wa darasa la 6 akamatwa kwa tuhuma za kumnajisi Mtoto wa darasa la 3

    Mwanafunzi (13) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maguja, Wilaya ya Ruangwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Likangara. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Foka Dinya alisema mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

    Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM. Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Darasa la Mzee Kissinger katika mada Kenyatta University, Nairobi

    Hamisi Hababi: Assalaam Alaikum, jana nilikuwa na Mzee Kissinger na nikamsimulia andiko lako mtandaoni kuhusiana yeye na Hafidh Kido, na akafurahi sana nilimpomwambia yeye ni Mwalim na wewe ni mwanafunzi, akaishia kusema "Mohamed mtundu sana" mimi sina digrii yeye ana madgrii. Waleikum Salaam...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama hali ya Darasa la Shule ya Msingi Bushekya iliyopo Halmashauri ya Muleba

    Wakuu salaam kwenu, Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya...
  18. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mamlaka gani hapa Tanzania inatoa 'Leaving Certificate' ya Darasa la Saba na Kidato cha nne kwa sasa?

    Wakuu na mamlaka husika (Wizara Elimu na TAMISEMI) Uzi wenye sura ya swali umeletwa jukwaani hapa baada ya kufanya jitihada za kutosha kutafuta mwongozo wa kuaminiwa kutoka serikalini , lakini imeshindikana kupata. Taratibu za sasa katika utafutaji ajira na kujiendeleza kielimu unahitaji uwe...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?

    Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?
  20. Leak

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Msanii Harmonize bado anashikilia rekodi ya Album bora lakini Darasa atatu-suprise mwaka huu kupitia album yake(Slave becomes King)

    VS Wana jamvi Wasalaam Mwaka 2020 umekuwa mwaka wa ushindani mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki hasa bongo fleva hapa nchini nah ii imetokana na kuwa mwaka wenye kazi bora sana za muziki wa bongo fleva . Miaka iliyopita kulikuwa na kilio cha wasanii na wadau kuhusu wasanii kutoa album...
Back
Top Bottom