Lindi: Mtoto wa darasa la 6 akamatwa kwa tuhuma za kumnajisi Mtoto wa darasa la 3

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,480
9,241
Mwanafunzi (13) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maguja, Wilaya ya Ruangwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Likangara.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Foka Dinya alisema mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo hicho Februari 5 saa tano mchana.

Alisema kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kumetokana na baba wa mtoto anayedaiwa kufanyiwa kitendo hicho kumbaini kijana wake akiwa amekosa uchangamfu na kutembea kwa shida.

Dinya Alisema mtoto huyo alipouliza akaeleza kile alichofanyiwa na mwenzake.

Alisema kutokana na maelezo ya baba wa mlalamikaji, alilazimika kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi kisha mtuhumiwa akakamatwa na kufanyiwa mahojiano.

Alisema mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani baada ya kukamilika kwa taratibu za kiupelelezi.
 
Kila nikikutana na matukio kama haya mtandaoni nabaki kuamin umri wa dunia unakaribia kuisha.
Dunia haiwezi kuisha..we unadhani haya yalianza leo..kama unasoma maandiko nadhani unakumbuka ishu za sodoma na gomora..ki ufupi hakuna jipya chini ya jua..chamsingi shikilia imani yako.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwanafunzi (13) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maguja, Wilaya ya Ruangwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Likangara.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Foka Dinya alisema mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo hicho Februari 5 saa tano mchana.

Alisema kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kumetokana na baba wa mtoto anayedaiwa kufanyiwa kitendo hicho kumbaini kijana wake akiwa amekosa uchangamfu na kutembea kwa shida.

Dinya Alisema mtoto huyo alipouliza akaeleza kile alichofanyiwa na mwenzake.

Alisema kutokana na maelezo ya baba wa mlalamikaji, alilazimika kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi kisha mtuhumiwa akakamatwa na kufanyiwa mahojiano.

Alisema mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani baada ya kukamilika kwa taratibu za kiupelelezi.
Pole kwa waathirika na familia yake. Lakini, huyo kamanda,Bw. Foka Dinya nae jina lake jamani. Hilo Dinya ni balaa sana.
 
Mambo haya yalikuwa yanafanyika mjini tu,lakini siku hizi hadi vijijini yapo.Sasa hivi bado tunayashangaa ila muda si mrefu watu watayaona ya kawaida sana:KAMA WEWE NI MTU WA IMANI BASI UTAPASWA KUKAZA IMANI ZAIDI MAANA NI ISHARA KWAMBA KIYAMA (sijui KIAMA) KIMEKARIBIA.

Muyaonapo hayo inueni vichwa vyenu mbinguni.Si mambo ya kuchukulia poa kabisa!
 
Mwanafunzi (13) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maguja, Wilaya ya Ruangwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Likangara.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Foka Dinya alisema mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo hicho Februari 5 saa tano mchana.

Alisema kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kumetokana na baba wa mtoto anayedaiwa kufanyiwa kitendo hicho kumbaini kijana wake akiwa amekosa uchangamfu na kutembea kwa shida.

Dinya Alisema mtoto huyo alipouliza akaeleza kile alichofanyiwa na mwenzake.

Alisema kutokana na maelezo ya baba wa mlalamikaji, alilazimika kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi kisha mtuhumiwa akakamatwa na kufanyiwa mahojiano.

Alisema mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani baada ya kukamilika kwa taratibu za kiupelelezi.
Dah so sad
 
Huyu mtoto ameanza ushenzi mapema sana. Miaka 13!!! Akifikisha miaka 18 inabidi atafutiwe viza ya kwenda kuishi kwa babu yake Joe Biden.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom