Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

MovingForward

JF-Expert Member
Nov 10, 2009
489
49
Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.

Queen.jpeg
 
Watu wa humu bhana kweli vituko, kwahy nchi mzima chadema ndio wapinzani tuu ila hao wengine sio wapinzani, ety yule mama sio mpinzani ni ccm.?
CHADEMA mtabaki kupinga-pinga tuu.
 
Sasa ndio atawafanya nini, hawezi kiwalipizia kisasi(kuwanyima maendeleo) kwa ajili ya kulinda ugali wake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom