dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SGR inapakia abiria wa Dar kushukia pugu na kuna malalamiko ya kukosa tiketi!

    Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na Daladala? TRC inaelewa kweli inachokifanya? Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanarundika ndoo zenye maji ndani

    Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki. Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
  3. JamiiForums Tanzania Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

    Wasalaam. Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa. Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor. Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
  4. JamiiForums Tanzania Teaching Vacancies at Dar Es Salaam Independent School August, 2024

    VACANCIES FOR THE SCHOOL YEAR 2024/25 We need the following staff immediately: SECONDARY SCHOOL BIOLOGY TEACHER (IGCSE & A-LEVEL) TEACHERS APPLYING FOR ENGLISH TEACHER POSITION should have Bachelor’s degree or higher in Education or a related field. Prior teaching experience of Cambridge...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar Hivi Ex Ni nani?

    Watu dar naomba kuwauliza ivi ex ni nani..?Ni mwanaume/Mwanamke ulielala nae au uliempenda au kuishi nae Kisha mkaachana ndio mnamuita ex..? Ex wangu fulani Kwa kigezo kipi mpaka awe EX..?? Mtusaidie watu wa mikoani mana wengi hatuelewi 🙏 Hatuna cha kuwalipa ila mkija mkoani kwenye misiba...
  6. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kitana kizuri cha mbao Dar

    Guys nina hela hapa, Leo nimesema nimuungishe mwana hapa uwe humu JF Usiniconect na mtu nawajua hapo Keko Uwe unauza wewe kizuri mbao bora kabisa Nipo hapa kisuma kama karibu na temeke nakifata sasa hivi kama ni mbali nifanyie delivery Yaani leo leo 6*6 Mbao nzuri mnaita mninga sijui
  8. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba treni ya SGR Dar - Moshi - Arusha tumechoka na mabasi

    Shikamoooo mama popotee ulipoo Tumewiwaaa kuwaombaaaa mtusaidie jaman watu wa arusha moshiii tupateee na sie sgr Mungu awabariki sanaaa sanaa kwa hili
  9. JamiiForums Tanzania Phone4Sale iphone X inauzwa Dar es salaam goba

    habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
  10. JamiiForums Tanzania Hawa wadudu sijawaona Dar

    Pamoja na kuonekana wana thamani, sijajua biashara yake ikoje. Au ndio wanakula wenye hela? Binafsi labda uniletee nyama yake bila kujua ndio hili dude
  11. JamiiForums Tanzania Mnaokumbuka hii? Ilikuwa 12:00 Songea mpaka 12:00 Dar

  12. JamiiForums Tanzania Naomba Magari ya Wagonjwa yawe mengi kwa Mkapa Keshokutwa na Madaktari wakae Stand by Hospitali za Jirani na Kubwa Dar es Salaam

    Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze

    Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  14. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kariakoo: 850 sqm Plot For Sale - Dar

    • Direction: Muhoro • Plot Area: 850 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 800 million • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ hapa ni mahali pa soko la kibiashara la kimataifa ✓ plot inafaa kwa makazi na biashara . Call/Watsap: +255 767 15 77 88 . In Real Estate We Connect
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale City Center: 4th Floor 3 Bdrm Apartment Inauzwa - Dar

    • Direction: Kisutu • Document: hati • Price: TZS milioni 200 . ✓ ni ghorofa ya 4 ✓ ina lift ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye makabati; balkoni ✓ feni za juu; maji moto bafuni; madirisha vioo ✓ wafanya usafi nje na ngazi ✓...
  16. JamiiForums Tanzania SGR Dodoma - Dar es Salaam

    SGR DOM - DAR
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Agosti 1, 2024 yasimamisha shuguli za kiuchumi jijini Dar es Salaam

    Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma Dhiara hiyo ya rais samia ilianza asubuhi ya tarehe 1 Agosti akitokea Ikulu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Dogo Dulla acha Kulazimisha Baba Mkwe wa Hiari amrithi Msomali pale Lumumba Dar es Salaam na Kizota Dodoma sawa? Atamharibia Mazeri

    Baba Mkwe wa hiari huyo alipokuwa Umoja wa Waliotuzaa Chamani aliharibu na kaacha Kashfa nyingi tu. Hafai huyo.
  19. JamiiForums Tanzania KERO Us dollar bado inatufinya wapangaji wa maeneo prime area Dar

    Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani. Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

    Nimeona tangazo lake mtandaoni na nikaipenda ghafla. Mwenye kufahamu duka naweza pata huu mtambo nipe msaada. Mtambo unaitwa VR Box
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…