Biashara ya nafaka Dar ipoje

aBuwash

Senior Member
Dec 26, 2023
107
201
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la NAFAKA DAR lakini Mimi mi mgeni katika biashara, sijui NAFAKA gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika Sana hapa Dar na changamoto ya biashara hii zipoje na faida zake pia zipoje.

Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali
 
Kiongoz kama kweli una hiyo Hela be careful kwenye biashara ni kama betting na isitoshe you haven't any experience aisee... Utaungua mno.

Ushauri wangu Tafuta mtu mzoefu tena mwaminifu maana saivi matapeli ni wengi sana ukae nae chini akupe uzoefu wake then fanya tathimini na kufanya research faida na hasara after that ndo uje na results ya kupima kama utafanya hiyo biashara au hautofanya.

Jitahidi sana kutuliza akili Mkuu vinginevyo ukikurupuka utajuta zaidi Kingine Usiogope life always ni Risk
 
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la NAFAKA DAR lakini Mimi mi mgeni katika biashara, sijui NAFAKA gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika Sana hapa Dar na changamoto ya biashara hii zipoje na faida zake pia zipoje.

Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali
Njoo tununue ufuta lindi huku utaweka kama milioni nne tu hautokuja kujuta biashara ya mazao ni utajiri tosha amini hiki nachokwambia huku watu tunatoboa kwa ajili ya ufuta tu unanunua buku au buku jero kwa wakulima ww unakuja kuuza kuanzia 3500 mpaka 4200 kwa kilo.
 
Mkuu unauzia wapi na kwa muda gani
Mkuu tunauzia kwenye vyama vya ushirika(ghalani) kila baada ya wiki moja kama umepeleka mzigo wako wa tani moja au mbili etc hela zako zinaingia bank kwa maelezo zaidi kama upo tayari nijuze mkuu nikupe full details huku watoto wadogo wanashika hela tu sema starehe ndio zinawaharibu ila wale wajanja ndio wanakuwa na bodaboda mbili mbili kama kuna dogo mmoja mwaka jana amenunua Noah used dar kwa milioni saba na bodaboda pia anazo mbili dogo alipata kama milion 18 hvi mwaka jana.
 
Mkuu, wewe juzi juzi si ulikuwa unauliza ni wapi wanachukua walinzi ili na wewe upeleke form ya kuomba kazi ya ulinzi?

Hii biashara ya ufuta umeianza lini?, kama ina faida kwa nini utake kuomba kazi ya ulinzi?. Angalia usimuingize choo cha kike mdogo wetu.

Oya mdogo wangu, hapo juu kuna watu wamekupa ushauri mzuri sana. Hiyo hela yako kwa sasa tafuta sehemu uitunze kwanza, usiingize kwenye biashara yoyote ile. Tafuta mtu ambaye anafanya biashara ya nafaka, muombe awe mentor wako(Omba hata kujitolea kumsaidia kazi zake) mpaka pale ambapo utaielewa hiyo biashara vizuri. Siku ukitaka kuanza kufanya biashara rasmi, chukua robo ya hela yako (2M) anza kununua mzigo kidogo kidogo. Ukishaanza kupata wateja wa kutosha ongeza robo ya hela (Hapo utakuwa umeingiza nusu ya hela yako kwenye biashara). Nusu ya hela inayobaki itunze kama back-up capital.
 
Kwel bro big point nimekuelewa
 
Mkuu nachoongea kipo serious sana aje huku lindi au aende hata mtwara maeneo wanayolima ufuta ndio utaona vijana huku wanavyotoboa maisha kwa wale wapambanaji lakini ila spoon feeding utaona kila kitu tabu tu dunia hii hauwezi kuwekeza kwenye biashara kama sio mtu wa kurisk katika upambanaji ni kitu kidogo saana narudia tena aende hata mtwara maeneo wanayolima ufuta aangali vijana huko wanavyotoboa.
 
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la NAFAKA DAR lakini Mimi mi mgeni katika biashara, sijui NAFAKA gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika Sana hapa Dar na changamoto ya biashara hii zipoje na faida zake pia zipoje.

Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali
Kwanza umeipataje hiyo pesa , kama Kuna biashara unafanya ndio iliyokuingizia hiyo pesa nakusihi endelea na hiyo hiyo biashara Kwa kuongeza WiGo zaidi wa biashara Yako.
Maana biashara mpya Huwa Sana na itakuchukua muda kidogo kuzimaster .
 
Mkuu nachoongea kipo serious sana aje huku lindi au aende hata mtwara maeneo wanayolima ufuta ndio utaona vijana huku wanavyotoboa maisha kwa wale wapambanaji lakini ila spoon feeding utaona kila kitu tabu tu dunia hii hauwezi kuwekeza kwenye biashara kama sio mtu wa kurisk katika upambanaji ni kitu kidogo saana narudia tena aende hata mtwara maeneo wanayolima ufuta aangali vijana huko wanavyotoboa.
Bro mi nipo mtwara
 
Back
Top Bottom