Dar Young Africa, together forever..

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Oct 6, 2023
415
1,032
Habari zenu..
Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS.

Mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana, kweli naweza kusema naipenda yanga sana, ni timu iliyojaa historia kubwa sana Africa mashariki na kati,WE GREENS COLOR OF GOD.

Tuna viongozi wenye uweledi mkubwa sana,wenye kupambania masilahi ya timu,mashabiki tuna enjoy.

Kila nikitazama picha iliyojificha naiona YANGA ikiwa timu kubwa Africa itakayo ogopeka na kila timu,inshaallah

Daima nitasimama na wewe tu,iwe kwenye tabu na furaha pia we greens forever.

DAR YOUNG AFRICANS CHAMPIONS CHAMPIONS OF ALL TIMES..
 
Habari zenu..
Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS.

mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana,kweli naweza kusema naipenda yanga sana,ni timu iliyojaa historia kubwa sana Africa mashariki na kati,WE GREENS COLOR OF GOD.

tuna viongozi wenye uweledi mkubwa sana,wenye kupambania masilahi ya timu,mashabiki tuna enjoy.

Usipende sana mchezo wa soka, ni pepo la gizani
 
Tunawakilisha kutoka kipande cha LUBUMBASHI
IMG-20230328-WA0005.jpg
 
Habari zenu..
Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS.

mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana,kweli naweza kusema naipenda yanga sana,ni timu iliyojaa historia kubwa sana Africa mashariki na kati,WE GREENS COLOR OF GOD.

tuna viongozi wenye uweledi mkubwa sana,wenye kupambania masilahi ya timu,mashabiki tuna enjoy.

Kila nikitazama picha iliyojificha naiona YANGA ikiwa timu kubwa Africa itakayo ogopeka na kila timu,inshaallah

Daima nitasimama na wewe tu,iwe kwenye tabu na furaha pia we greens forever.

DAR YOUNG AFRICANS CHAMPIONS CHAMPIONS OF ALL TIMES..
tupo pamoja hapo...
 
Back
Top Bottom