Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

Mama Edina

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
748
1,815
Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.?

Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii.

Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa nitoe...Kinachofanyika ni kwamba reception anaandikiwa kule ndani kwamba mpe muda, then kwenye documents ulizobeba moja inaandikwa njoo tarehe flan. Sababu ni kwamba wanawasiliana na source ya birthplace kwa mtoto.

Unapouliza kwa wadau wa RITA nje ya ofisi wanakubali ni kweli wanahitaji taarifa from the original.

Fine, baada ya 2020, 2021 topic ikachange shule wajaze fomu hii ikajazwa 2022 wiki ijayo, nenda rudi wiki ijayo....23 ikaja nenda ulete confirmation letter kutoka ward executive officer WEO.

Nikaishia hapo kwa 2023 December. Hapo pote nimekwepa tuu kutoa rushwa hadi sasa.

Japo nimechoka ila sinatra hata 100 mbovu. Nitalianzisha hata Edina akiwa University patelea mbali.
 
Usichoke jaribu njia hii, nenda kwa kiongozi wa wa dini muombe smbatize Edina apewe jina RITA, ukienda utapewa siku hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom