dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Supervisory Telephone Technician Job at US Embassy Dar es Salaam

    Supervisory Telephone Technician Dar es Salaam US Embassy Dar es Salaam The mission of the United States Embassy is to advance the interests of the United States, and to serve and protect U.S. citizens in Tanzania. About Announcement Number: Dar es Salaam-2022-055 Hiring Agency: Embassy Dar...
  2. JamiiForums Tanzania Electricity backup system

    Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama Unaweza ukajiuliza ➡️INAFANYAJE KAZI? ➡️KWANINI NITUMIE BACKUP SYSTEM? ➡️INAFAIDA GANI? Well kuna namna mbili za ufanyaji...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

    Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC), Dar es Salaam katika kipindi cha kuanzia Novemba 2021 hadi Julai, 2022. Idadi hiyo ni sawa na mashauri 220 yanayofunguliwa kila mwezi kituoni hapo, hali inayoonyesha kuyumba kwa taasisi nyeti ya...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

    Habari wadau. Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm. Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo. Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu...
  5. O

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mamantilie kisasa inavyoua umasikini Dar es Salaam kwa haraka

    MAMANTILIE Hii ni biashara ambayo watu wamekua wakiuchukulia kawaida lakini imetoa ajira kwa watu wengi katika miji mingi na Leo hii watu wamenufaika sana hivo kwa mtu ambae unahitaji kubadili maisha take kwa namna moja ama nyingine anapaswa kufatilia nakara hii ambayo itakujenga na utafanikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

    Maeneo mbalimbali Nchini yanatarajiwa kuwa na Hali ya Baridi, ikielezwa Mkoani Mbeya kiwango cha chini cha joto kinatarajiwa kufikia 10°C, Iringa 11°C, Arusha 14°C, Njombe 06°C na Dar 19°C Utabiri wa TMA kwa saa 24 zijazo umetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wizi unaofanywa usiku Dar kwa kukata nyavu za madirisha

    Wadau ukipita sehemu nyingi Dar es salaam yani kwenye mitaa na makazi ya watu unakuta madirisha mengi ambapo nyavu au wavu ukiwa umechanwa ukionesha kuwa kuna wizi ulishawahi tokea Wezi hao hutumia usiku wa manane kuwa ni nyakati ambazo wananchi wengi wamekuwa wamelala, hutumia dawa kama spray...
  8. JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika Temeke (Dar es Salaam) tangu mwaka 2021

    Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika katika Manispaa ya Temeke katika kipindi cha kuanzia mwaka 2021 hadi Julai 2022. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Temeke, Lilian Mafole na kusema chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hizo ni mifarakano, wivu wa mapenzi na kipato duni. Afisa Ustawi amesema kutokana na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

    Habari JF, Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku Buguruni, vibaka, foleni barabarani etc Je, wewe unamiss kipi?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tuition centre ipi hapa Dar es Salaam ni nzuri kwa Masomo ya science O level?

    Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
  11. JamiiForums Tanzania Polisi yakamata watuhumiwa tisa wa ujambazi Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa tisa (9) kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi. Tukio hilo limetokea Tarehe 22/07/2022 majira ya saa 9:40 usiku maeneo ya kiwanda cha SHERI Automotive Germany Barabara ya Mbozi Keko Wilaya ya Temeke. Jeshi...
  12. JamiiForums Tanzania Klabu ya Karate ya Scorpion ya Dar es Salaam imetoa mikanda meusi (Black Belt)

    Klabu ya Mchezo wa Karate ya Scorpion ya Jijini Dar es Salaam, imefanikiwa kutoa mikanda Meusi (Black Belt) kwa wanafunzi wa mchezo huo. Mkufunzi mkuu wa klabu ya Scorpion, Sensei Jerome George Mhagama amewataka wanafunzi hao wa mchezo wa karate, kuendelea kujifunza mchezo huo kwani bado...
  13. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yote haina umeme

    Nikiwa Kariakoo majira ya saa 18:30 nikaona kiza cha ghafla! Si kawaida kukuta kariakoo yote haina umeme ila kadri nilivyosogea mpaka mtaa wa kongo nikakuta hali hiyohiyo ya kiza, kupiga simu home Tabata naambiwa nako hakuna Umeme anzia jioni! Kuna nn leo ndani ya Jiji la Dar es Salaam?
  14. JamiiForums Tanzania Ujuaji wamkosesha dili la mamilioni mwalimu wa muziki/ nyimbo jijini Dar es Salaam

    Ni hivi kuna mtoto wa tajiri mmoja aishie Oman mwenye asili ya Zanzibar anafanya project ya uandishi wa nyimbo za kiswahili ili kuona kama nyimbo zinazo tokana na utunzi wake zinaweza ku trend. Kinacho fanywa na familia hii ya kitajiri ni kama kilicho fanywa na Mzee Bakhressa alipo ianzisha...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Soko la dhahabu na Rubby Dar es Salaam

    Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Treni ya Mwendokasi kuanza safari Juni 21, 2022 kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro.
  17. JamiiForums Tanzania Alfa na Alfu: Mapacha walio kufa kifo chenye utata jijini Dar Es Salaam

    Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao. Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika. Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu. Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Nina elimu ya kidato cha sita

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
  19. F

    JamiiForums Tanzania 92.5 FM Dar es Salaam Stress Free Radio

    Kama umechoshwa na takaka za betting, umbea na siasa, this station is suitable for you. ni full musics, 24/7. iko poa sana. Uzi tayari.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…