Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Dar Es Salaam - Ni jiji lenye ofisi nyingi za uongozi wa kitaifa na East Africa commercial city
Dodoma - Ni jiji linalowekewa bajet kubwa sana ili kuhamishia ofisi za serikali huko
Arusha - Ni jiji linaloendelea kupata back up ya miradi kwa kuwa na hadhi ya umoja wa Afrika Mashariki na...
Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa.
Huduma zetu zinapatikana kwa:
Pre-School, Primary na Secondary
Mitaala ya Tanzania na Cambridge
Masomo yote ya Sayansi, Sanaa na Biashara...
DAR ES SALAAM; KITUO cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF) cha Dar es Salaam kimefikisha watoto 160 tangu kuanzishwa kwake miaka mitatu iliyopita.
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa kituo hicho, Dk Clementina Kairuki wakati akizungumzia...
Wana-JF,
Kasi ya siasa za kimataifa hivi sasa inatupa masomo makubwa sana kuhusu nguvu ya sheria na umuhimu wa mifumo imara ya kikatiba. Hivi karibuni, tumeshuhudia Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, akihukumiwa vifungo vizito vya jela—ikiwemo kifungo cha maisha kwa kosa la uasi na...
Huhitaji tena:
(i). Kupoteza siku nzima foleni
(ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza
(iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi
Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili
Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.
"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.
Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.
Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika...
Habari wakuu,
Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao.
Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi?
Nashukuru.
Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema.
Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
Kichwa cha habari chahusika,
Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu.
UBORA KATIKA KAZI:
1. Chakula kinaandaliwa na ma chef...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026.
Katika ziara hiyo ya heshima...
atembelea
banda
biashara
biashara ya kimataifa
dardaressalaam
dkt. hussein mwinyi
hussein mwinyi
katika
kimataifa
maonesho
mwinyi
rais
rais wa zanzibar
zanzibar
Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu
Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂
Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026.
Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
Moja kwa moja ...
Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote .
Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa...
Leo Julai 7, 2026 ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya Biashara Kimataifa, maarufu kama Saba Saba (77), ambapo mataifa mablimbali hupata kuonyesha bidhaa zao na kuimairisha ushirikiano wa kibiashara na Tanzania.
Siku imeanza vizuri ikiwa na kimvua kwa mbaliiii, kushusha vumbi njia ionekane vizuri ili...
Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu.
Kinachoshangaza ni kwamba baadhi yetu tunakatwa mishahara, lakini wenzetu wengine hadi leo...
Anonymous
Thread
daressalaam
halmashauri
halmashauri ya jiji
jiji la dar
ofisi ya rais utumishi
ofisi ya wilaya ilala
takukuru tanzania
wizara ya tamisemi
Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa.
Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30.
Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.