Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE
Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
Kuhusu maisha ya Dar es Salaam.
Wakazi wa Dar wanaonekana wamekonda sana . Joto na chache wa hewa ya oxygen kunasababisha watu kutokwa na jasho kila wakati, kiu kali, kizunguzungu pia ni mkoa ambao unaongoza kuwa na wakazi wengi wenye kiwango cha chni cha damu kulingana na mifumo yao mibovu...
Mmeshindaje viongozi?
Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka.
NIDA yangu niliipata ikiwa imefutika baadhi ya taarifa Sasa siku moja...
Huenda ikulu ya Dar es Salaam ilijengwa na Wajerumani, kwenye empty space, na baada ya kuharibiwa kabisa, kwenye vita ya kwanza ya dunia, ikajengwa tena na Waingereza.
Wajerumani walikuwa taifa lenye a protestant majority, na a huge roman catholic minority.
Waingereza walikuwa taifa lenye a...
Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025.
Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na ilhali sheria za utumishi wa umma zinasema tupewe ndani ya siku 7, zaidi ya hayo hatujathibitishwa...
Anonymous
Thread
ajira mpya
daressalaam
fedha za kujikimu
walimu ajira mpya
Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU)...
1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha. Walikuwa disorganized balaa na mazingira yalikuwa very hostile lakini hatimaye interview ilifanyika...
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
RE: OFFER FOR SALE OF PRIME COMMERCIAL PROPERTY LOCATED AT VICTORIA PLACE - TANZANITE PARK AREA, DAR ES SALAAM
I am writing in my capacity as a real estate agent acting on behalf of my client, who is the legal owner of a strategically located property situated at Victoria Place, Tanzanite Park...
•Unahitaji mbao kwa bei ya jumla na upo Dar ea salaam au pwani?
•L & J TIMBER SUPPLIERS tunakuletea mbao kwa bei ya jumla hadi mahali ulipo ndani ya Dar es salaam na Pwani moja kwa moja kutoka Njombe.
•Mbao zetu zimekidhi ubora & bei zetu ni nafuu sana.
•Kubwa zaidi ni kwamba malipo...
Kufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye vazi la shuka, hususan kobeto likiwa linaning'inia pembezoni mwa kiuno
Twende kwenye tukio halisi...
Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu kutokuwepo kwa maafisa wa mfumo wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar es Salaam, jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wa kazi wanaohitaji msaada wa kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza kwenye mfumo huo.
Wiki mbili...
Anonymous (76e2)
Thread
ajira
ajira portal
daressalaam
kivukoni
mfumo wa ajira
KAMA WEWE:
•Unauza mbao reja reja kwenye banda lako.
•Una hardware pia unauza mbao za ujenzi.
•Una workshop kwaajili ya kutengeneza furniture.
•Una mradi wa ujenzi na unahitaji mbao za ujenzi kwa bei ya jumla.
•Unahitaji mbao kwa matumizi yako mengine kwa bei ya jumla.
•Kama upo kwenye...
Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu ndio walitarajia mvulana huyo mpole angevutia hadhira kwa lugha fasaha ya Kichina.
Akiwa amevalia...
05 May 2026
Tanzania yapanua miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam ili kukabiliana na ongezeko la mizigo
Tanzania yapanua bandari ya Dar es Salaam ili kuimarisha biashara ya kikanda kwa kujenga gati 10 mpya
https://m.youtube.com/watch?v=5KZlgZiaEhM
Upanuzi huo utasaidia bandari kushughulikia...
Serikali imeidhinisha Shilingi bilioni 24.08 kupitia mradi wa Dar es Salaam Maritime Gateway Project kwa mwaka wa fedha 2025/26 ili kuboresha miundombinu ya Port of Dar es Salaam na kuongeza ufanisi wa huduma za mizigo pamoja na usalama wa bandari.
Hadi Februari 2026, bilioni 11.31 zilikuwa...
Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi.
Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao,
Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
baada
bila
dalili
dardaressalaam
dodoma
ila
kiwango
kuandamana
kuendeleza
maendeleo
mapato
mikoa
nchi
oktoba
oktoba 29
pesa
sana
sawa
tena
umuhimu
vyanzo
vyanzo vya mapato
waafrika
zanzibar
zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.