dar es salaam

  1. Roving Journalist

    Rais Samia ampokea Rais wa Poland, Andrzej Duda, Ikulu ya Dar es Salaam, Februari 9, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024 ''Poland imekuwa ikichangia shughuli mbalimbali za maendeleo hapa nchini ikiwemo sekta ya afya, ambayo itatekeleza...
  2. K

    Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
  3. Kinumbo

    Dar es Salaam bila kitambaa hutoboi

    Aisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana. Dar es Salaam kwa sasa kuna hali ya jua na joto kali sana, kuna joto ambalo ni zaidi ya joto lenyewe. Yaani bila kitambaa mkononi hutoboi salama unapo kwenda. Inabidi uwe na vitambaa viwili mikino yote miwili yaani unajifuta jasho...
  4. Stephano Mgendanyi

    Komredi Mwajabu Mbwambo aongoza UWT Dar es Salaam kutembelea Ihsan Orphanage Center - Kata ya Kibada

    KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT Komredi Mwajabu Rajabu Mbwambo wameshirikiana na Uongozi wa UWT Kata Kibada kutembelea kituo cha...
  5. Roving Journalist

    Mkurugenzi wa Bandari ya Dar asema "Hali ni shwari Bandari ya Dar es Salaam, operesheni zinaendelea"

    Shughuli za kiuendeshaji katika Bandari ya Dar es Salaam zinaendelea vyema huku gati zote ndani ya bandari hiyo zikiendelea na shughuli za kupakia na kupakua mizigo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho wakati akitoa ufafanuzi kuhusu madai ya uwepo wa...
  6. P

    Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  7. Pfizer

    Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na malalamiko mizigo kichelewa kutoka Bandari ya Dar es Salaam. Hali hiyo imeboreshwa kwani hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar es Salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili. TPA imeelezwa kwamba, Mwezi wa 11 na 12...
  8. TODAYS

    Dar es Salaam Mpya: Chini ya Mabwawa na Mito inayofufuka, Viongozi Wamekaa Pale.

    Waafrika tuna dharau sana hasa viongozi walioshika mpini. Mwaka fulani hapa jijini Dasalam kuna project flani ililetwa nadhani na UN kuhusu kuboresha miundombinu ya jiji na bahati flani niliwahi kuwepo as mdau wa taasisi flani. Kutokana na karabrasha nililonalo lenye michoro yote ya jiji...
  9. S

    Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Ni kweli maafa ya mafuriko yanaitwa natural disasters, lakini sio lazima natural disasters zilete maafa kwa raia na mali zao. Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe, ubinafsi, kutojali, na uongozi mbovu kwa ujumla wa viongozi wa serikali. Si mara ya kwanza Dar es...
  10. Msanii

    Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  11. S

    Dar es Salaam imetumia mabilioni ya fedha kuziba mashimo barabarani, miezi miwili baadaye 80% ya mashimo yaliyozibwa yamerudi

    Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
  12. masai dada

    Current situation at the port of Dar es Salaam heavy traffick of vessels

    Tulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea. Watendaji wizara husika msaidieni Rais .... Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
  13. tpaul

    Tetesi: Ole Sabaya kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam. Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma...
  14. R

    Wapi Dar es Salaam naweza kukodi Trecta

    Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma. Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
  15. Roving Journalist

    Dar es Salaam: Mfumo wa uzoaji taka mitaani unaweza kusababisha athari za kiafya kwa Wananchi

    Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara. Baadhi...
  16. Jadda

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Heri ya mwaka mpya wakuu Hivi kwanini serikali isiunganishe mikoa ya Dar na Pwani kisha huo mkoa uitwe Dar na tubaki na mikoa 30 tu, hakuna haja ya kuwa na mikoa mingi huku maendeleo yakiwa ni madogo na idadi ya watu ikilundikana kwenye vimiji vichache tu, kusema kwamba tutamaliza mapori na...
  17. Ryan The King

    Msaada: Naomba kujua zilipo Ofisi za Mganga mkuu(RMO) Mkoa wa Dar es salaam

    Hello! Kama kichwa kinavyojieleza, hivi hizi ofisi ziko wapi? Natanguliza Shukrani
  18. O

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Malcom X in Dar es Salaam

    This is photo of Malcolm X on the beach in Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 The year (1964) just months before he was assassinated in the US 🤲🏽 . During his travels, he met with various leaders and explored Pan-Africanism, emphasizing unity among people of African descent around the world.
Back
Top Bottom