Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Habari wakuu,
Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!
Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5...
Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi.
Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
CONTAINERS 4 ZA 20FT ZINAZUUZWA — DAR ES SALAAM
Nauza containers 4 za futi 20 (20FT) zilizopo Dar es Salaam.
Ziko kwenye hali nzuri
Zinafaa kwa storage, biashara, warehouse na matumizi mbalimbali
Zinapatikana Dar es Salaam
Zinauzwa moja moja au zote 4 kwa pamoja
Bei: TSh 4,800,000 kwa...
Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi...
Kabla sijaenda naomba kwanza nisahihishe jambo moja muhimu: si sahihi kusema kwamba kila eneo hapa chini lina sheria ya jumla inayosema “hairuhusiwi kupiga picha.” Baadhi ni maeneo nyeti ambayo hupaswi kupiga picha bila ruhusa, na baadhi yana restrictions maalumu, hasa maeneo ya kijeshi na...
Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi.
Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
Wananchi wanaoishi mtaa wa Kidosho Mikocheni jijini Dar es salaam wanawalalamikia baadhi ya watu wanaotumia daraja linalo pitisha maji taka mpaka baharini kama sehemu ya kutupa takataka, hali inayopelekea daraja hilo kusongamana na uchafu na kufanya maji yatuame kwa muda mrefu.
Aidha...
Wamiliki na waheshimiwa maafisa usafirishaji wanaotumia Bodaboda, Guta na Bajaji walalamikia dharau dhidi yao kuonekana hawawezi kulipa tozo za maegesho .
Wamesema kwa siku wanaingiza zaidi ya Elfu 50 na kiwango cha chini ni elfu 30 kwa siku , tajiri anapewa 15 na dereva anakula 30.
Kwa Bajaji...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema licha ya Serikali kujenga Bandari ya Kwala bado Jiji la Dar es Salaam sehemu nyingi kumegeuzwa kuwa bandari kavu (ICDs).
"Kuna watu wanahujumu uchumi wa nchi. Kwa sababu kwa mfano, Dar es Salaam sasa hivi...
Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo
Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8
Mbezi
Ubungo
Chanika
Mbagala
Kigamboni
Kigamboni
Tegeta bunju
Kinondoni
Na hizo stendi kuwe na private terminal mfano wa zile zilizopo shekilango
Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya azam icecream sijui pale..maana kila mtu alifata mahitaji yake...
Sasa mimi baada ya kupata...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na wananchi wa Mtaa wa Tabata, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo mbalimbali ya mtaa huo.
Akizungumza katika kikao...
Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi.
Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi.
Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi...
Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio...
Wakuu
Nauliza tu maana juzi nilikuwa napita maeneo fulani ya Goba Tegeta A aisee kuna mitaa imepangika na kuna utulivu wa hali yaa juu sana
Yaani mtaa imepigwa pasi vizuri bila nyumba kukabana koo, kuko kimya kabisa bila kelele za hovyo wala umbeya wa kijiweni, na ukiangalia shoto na kulia...
Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside).
Eneo hili la kibiashara, nina nyumba yangu halali yenye hatimiliki ya uwekezaji ikiwemo biashara na makazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.