A
Anonymous
Guest
Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025.
Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na ilhali sheria za utumishi wa umma zinasema tupewe ndani ya siku 7, zaidi ya hayo hatujathibitishwa kazini wala kupewa mikataba ya ajira mpaka leo mwaka mmoja na miezi mitano baadaye.
Kulingana na sheria inabidi tuthibitishwe ndani ya miezi ya mpaka mwaka mmoja.
Soma Pia: Walimu Ajira Mpya - Dar hatujalipwa Fedha za Kujikimu, Kila tunapofuatilia, tunatishiwa kufukuzwa kazi
Tukitoa malalamiko kwenye group la whatsapp walilotengeneza viongozi, viongozi haohao hutishia kuwachukulia hatua walimu wanaolalamika na wakati mwingine hufunga group letu la WhatsApp.