daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa Mercy mtoto wa Kilimanjaro. Mercy alikua mtoto wa kishua, alikua mwembamba mrefu sura nyembamba ndefu...
  2. JamiiForums Tanzania Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga haina Daktari wa Timu?

    Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana. Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize, unamkabaje Mzee wa miba? TFF inapaswa kuingilia kati...
  4. JamiiForums Tanzania Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

    Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu watu wengi wakitaka kufa hugombana wasife

    Mwanadamu hukuumbwa ili ufe. Uliumbwa ili uishi milele. Mtu anapokuwa anakufa kabla hajakata moto huwa kuna pambano la kukataa kukubali kuwa anakufa. Hata wale waliomahututi hata kama kwa maumbile haonekani akifurukuta asife, huwa anapinga kabisa tukio hilo. Kwa nini? Mhubiri 3:11 Kila kitu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Huenda Kuna watu wanapanga kumwangusha Rais Samia na CCM yake kwani baada ya nauli kupanda kwa 43% sasa gharama za kumwona daktari zapanda kwa 400%

    Haraka kwenye mada, mambo ni mengi, Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo, Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno, Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
  7. JamiiForums Tanzania Nimegomea pendekezo la tiba toka kwa daktari

    Ni mwanangu wa kiume, wa 3 kuzaliwa and he is 5 years now. Kuepusha maneno mengi ni kwamba muda huu yuko hospitali, na mama yake na baada ya diagnosis ikaonekana ana mchafuko wa damu na homa iko juu ana joto flan . Baada ya kupata majib maabara na kumuona dokta akauliza "AMESHAPEWA DAWA?"...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce . Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, unahujumiwa huku Morogoro katika miradi. Agiza uchunguzi wa haraka

    Kwa kipindi kirefu sasa rais wetu, mama Samia Suluhu Hassan amekuwa akihangaika kubuni mbinu mbalimbali kwa lengo la kutatua kero za wananchi. Sisi wananchi wa kata ya Lukobe, Morogoro tunathamini na kuunga mkono juhudi hizo. Ila kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watendaji wake hawathamini juhudi...
  10. JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  11. JamiiForums Tanzania Atakayeuza Antibiotic bila cheti cha Daktari kupelekwa Mahakamani

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa onyo kali kwa wafamasi na wamiliki wa maduka ya dawa waotoa dawa bila kuangalia cheti cha daktari kwa kuwa kufanya hivyo ni kuendeleza tatizo la usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa na kuhatarisha afya za watu. Waziri Ummy amesema hayo wakati akifunga...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara haramu kwa miaka mitano mtu anastaafu sawa na Daktari bingwa

    Habari za saa hizi wana jamvi, hongereni wana Dar es Salaam kwa mvua, sasa hamna kisingizio cha kutokupeana. SIASA: Ukiacha biashara haramu ya madawa ya kulevya, biashara ya Siasa ndiyo inayolipa kuliko zote. Wakati kila uchao maghorofa na biashara mpya zikifunguliwa, siasa ni biashara mpya...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nini kitatokea dawa ikimdhuru mtu aliyeinunua pharmacy bila cheti cha daktari? Majibu haya hapa

    Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo. Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

    Wakuu, Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa magwanda kwenda kupambana na magaidi hao kwakuwa yeye analiweza suala hilo kuliko jeshi. Hii...
  15. JamiiForums Tanzania Swali: Hivi ni kwanini Tanzania hakuna Profesa au Daktari (Phd holder) ambaye ni mkulima?

    Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo na wanaishi maisha yao yote kwa kulima?
  16. JamiiForums Tanzania Umwona Daktari wa Uchumi Msalimieni

    Tanzania tuna Dakatari wa uchumi. Aliyejimwambafai na kutueleza kwamba mambo yote ya kiuchumi wa nchii tumwachie yeye. Sisi na akina Luhaga Mpina tuendelee kujadili Mambo ya kiganga na kucheza singeli Mkimwona msalimieni sana mwambieni huku mtaani tunaishi kwa nguvu ya macho..wala hatuji.kama...
  17. JamiiForums Tanzania Citizen: Shisha na 'e-ciggarates' zinasababisha upungufu nguvu za kiume & changammoto ya uzazi kwa wanawake

    Uvutaji wa shisha umekuwa kawaida nchini siku za karibuni na kukua kiasi kwamba wengine wameamua kuwa na shisha majumbani mwao. Pia siku hizi kuna sigara za kielektroniki, inatumia battery na inaunguza kimiminika kinachojumuisha nikotin, flavours na uraibu mwingine kuwa moshi ili mtu kuweza...
  18. JamiiForums Tanzania Daktari FEKI akamatwa Muhimbili

    Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari. Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa wana usalama walimbaini daktari huyo feki akiwa...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hastings Kamuzu Banda alikuwa daktari binafsi wa Malkia Elizabeth na alihasiwa ili asitembee na Malkia

    Nimekuwa nikisikia kuwa Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Hastings Kamuzu Banda aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa asije akatembea na Malkia Elizabeth na kuzaa naye. Kuhasiwa kwake huko kulipelekea Dkt. Kamuzu Banda mpaka anafariki dunia mwaka 1997 akiwa na umri wa miaka 99...
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amerudi Ubelgiji kwa daktari wake?

    Baada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…