Nimegomea pendekezo la tiba toka kwa daktari

Ivan Stepanov

JF-Expert Member
Apr 22, 2023
4,903
15,993
Ni mwanangu wa kiume, wa 3 kuzaliwa and he is 5 years now.

Kuepusha maneno mengi ni kwamba muda huu yuko hospitali, na mama yake na baada ya diagnosis ikaonekana ana mchafuko wa damu na homa iko juu ana joto flan .

Baada ya kupata majib maabara na kumuona dokta akauliza
"AMESHAPEWA DAWA?".

Wife akasema HAPANA, DAWA GANI?

Dokta akamwambia "KWA JOTO HILO, ALIPASWA KUWEKEWA KIDONGE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA.

Bas wakiwa kwenye mazumgumzo nikapiga simu (mimi ni type ile ya watu kero wasumbufu hasa napo hisi ishu ni kubwa na mimi ndio nilipaswa kuwepo sasa ndio hivyo tena sipo, sasa huwa napiga sana simu kutaka kujua everything going on)

Wife akapokea akanipa hayo maelezo na ndio alikua anaelekea kutimiza huo utaratibu.

Nikauliza "KUSHUSHA HOMA NDIO LAZIMA KIDONGE KIWEKWE huko?"

akasema "NDIO NIMEAMBIWA HIVYO".

Nikasema "MWAMBIE DOKTA MUMEO KAKATAA, KAMA HAKUNA NAMNA NYINGINE BASI WAMWACHE TU, HIYO HOMA MPATIE PARACETAMOL"

AKASEMA SAWA.

Bahati mbaya sana kila mshkaj wangu ambaye ni dokta nikimpigia hapatikani au hapokei simu.

Nilitaka japo nipate consent zao kitaalam nijue japo sidhan kama ningekubal..atleast nilitaka tu kusikia wanasemaje?

Ndio hivyo wakuu NIMEGOMA.Mwanangu mwenyewe wa kiume ndio huyo huyo, wemgime wote watatu ni wakike, sasa waanze tena kumuweka vidongo njia ya hajakubwa viyeyukie humo halaf nini kitafuata.HAPANA KWAKWEL.

IMAWEZEKANA NIMEKOSEA ILA NDIO HIVYO, NIMEGOMA.
 
Hii dawa ya kuwekewa mkuxxx watoto inaonekana ma Dr wanaipenda sana, mtoto wangu baada ya kutahiriwa pia walimwandikia hiyo dawa ya kuwekwa huko kama ndio itaondoa maumivu kwa haraka, niligoma pia na kuomba apewe dawa nyingine. Serikali iwe makini na prescription ya hiyo dawa vinginevyo tutatengeneza watoto mashoga.
 
Hii dawa ya kuwekewa mkuxxx watoto inaonekana ma Dr wanaipenda sana, mtoto wangu baada ya kutahiriwa pia walimwandikia hiyo dawa ya kuwekwa huko kama ndio itaondoa maumivu kwa haraka, niligoma pia na kuomba apewe dawa nyingine. Serikali iwe makini na prescription ya hiyo dawa vinginevyo tutatengeneza watoto mashoga.
Mkuu na mimi agenda hii ndio ilinitia hofu sana maana hata mtu hujui hayo madawa na implications zake in the near future
 
Sikuwahi kuliwazia hili ila inafikirisha hasa kwa madaktari kupenda ku recommend hii dawa kama vile hakuna mmbadala mwingine.

Ukute ni moja ya maagizo ya watu LQGBT kutaka kila mtu awe mdau wao.

Sitokubali tena mwanangu achomekwe hii dawa makalioni
 
Back
Top Bottom