daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Daktari ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kubaka wagonjwa 229

    Mahakama ya Ufaransa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Joel Le Scouarnec ambaye ni Daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri Kuwanyanyasa kingono wagonjwa na kubaka wagonjwa 229, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya miongo miwili. Kesi hiyo iliyodumu kwa miezi mitatu ya Joel Le Scouarnec...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Daktari huyu alitaka kunibaka?

    Inasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination" Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Stethoscope ya daktari used ya kununua, hata ikiwa mbovu sawa tu. Doctors mwenye Stethoscope mbovu atucheki

    Habari wadau. Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia. Tunaitumia kushutia igizo la sanaa. Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Nilisoma PCB, leo niko Wildlife & Tourism—Si lazima uwe Daktari, jitambue bro!

    Sasa hivi watu wanashangaa bro, mtu kasoma PCB halafu leo anashughulika na wildlife management and tourism—wanabaki wameduwaa kama vile maisha ni formula ya chemistry. Lakini ukweli ni kwamba maisha yana njia nyingi za kufika unakotaka, na elimu ya sekondari haipaswi kuwa kifungo cha maamuzi...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Daktari wa kweli Philip Isdori Mpango?

    Ni kitambo kirefu sasa tangu makamu wa rais asikike. Je yuko wapi na anafanya nini mbona haonekani wala kusika?
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

    Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana. Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu Daktari anmaanisha nini hapa?

    Kwa wenye ufahamu wa hili jambo analozungumzia Daktari wa urolojia atufafanulie lieleweke
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mjue Dr. Ian: Daktari aliyekufa, akafufuka, na sasa ni Mwinjilisti wa kimataifa!!

    Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Malawi: Kupokea shahada ya Heshima hakumfanyi Mtu kustahili Cheo cha "Profesa" au "Daktari."

    Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari." Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera apata shahada ya Uzamivu kutoka Mzumbe, atambulika rasmi kama Dkt. Juma Homera

    Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu, ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera ameandika historia muhimu katika safari yake ya kielimu na kitaaluma baada ya kufanikiwa kutetea kwa mafanikio tasnifu yake ya Uzamivu (PhD) na sasa kutambulika rasmi kama Daktari. Utetezi wa tasnifu...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Sitakuja kumsahau huyu daktari kwa alichonifanyia

    Wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo. Yule daktari alikaa pembeni ya kitanda changu akawa ananiambia itakua fine, itakua fine, kwa sababu niliingiwa hofu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Deus Ndilanha apinga kupunguzwa au kuondolewa kwa gharama za kumuona Daktari Hospitalini

    Rais wa zamani wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Deus Ndilanha amependekeza kutoondolewa wala kupunguzwa kwa gharama za kumuona daktari hospitalini, akidai kuwa kuondolewa kwa gharama hizo kunaweza kushusha mapato ya baadhi ya hospitali na kufanya baadhi ya watoa huduma kushindwa...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugai atoa hoja utaratibu kumwona daktari kwa Tsh. 10,000 ufutwe

    SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari. Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Daktari aonya madada poa hatarini kuwa na MPOX

    Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amesema Makundi ya Watu waliopo hatarini kupata Ugonjwa wa Mpox Ni Madada Poa Wazee Watoto na Wasafiri na kushauri wawe makini kuweza kujikinga na ugonjwa Huu wa mpox.
  15. Moaz

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu yangu anakoweza kupata tiba ya ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu

    Habari Wakuu Ninaomba msaada wa kupata daktari wa Jadi ambaye anaweza kumsaidia ndg yangu ambaye kwasasa ni kama amekata tamaa kabisa kutokana na kuhangaika pasina kufanikiwa. Historia yake fupi. Amefanikiwa kuoa mke ambaye kabla ya mafanikio walikuwa na upendo tu mzuri na maelewano na hivo...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hii elimu ya kwamba ukipiga mswaki hutakiwa kusukutuwa kwanini hatukufundishwa darasani?

    Wakuu, Vitu kama hivi vinapaswa viwe vinafundishwa darasani, kuna namna mitaala yetu inabidi ibadilishwe kabisa
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unguja: Wagonjwa tunakosa Haki ya Faragha wakati wa kuonana na Daktari katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, tunawekwa chumba kimoja

    Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu na ninaamini inasumbua watu wengi pia. Nimekuwa nikifika kituoni hapo kupata huduma ya Ugonjwa wa...
Back
Top Bottom