Yanga haina Daktari wa Timu?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,246
Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana.

Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize, unamkabaje Mzee wa miba?

TFF inapaswa kuingilia kati jambo hili, iko siku tutawekewa mchezaji mwenye ukurutu ama TB.

1706665710630.png
 
Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes , ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana

Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize , unamkabaje Mzee wa miba ?

TFF inapaswa kuingilia kati jambo hili , iko siku tutawekewa mchezaji mwenye ukurutu ama TB
Nimechukua likizo ya muda mrefu kwenye mijadala ya Simba na Yanga ila niseme tu kuwa hii ni kasoro kubwa sana iliyojitokeza leo. Utaruhusuje mchezaji aliye na ugonjwa wa kuambukiza acheze?

Pia niliwahi kuhoji kule Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kuhusu suala la shughuli rasmi ya TFF au ZFF (mfano kama leo mashindano ya FA) kuvamiwa na timu mojawapo kwa kufanya mambo binafsi kama kutambulisha wachezaji. Nilihoji kule Zanzibar na leo nakumbushia tu. Kiprotocali hii haijakaa sawa maana inaonyesha timu zinazocheza mechi hiyo hazina nguvu sawa katika mizania ya wanaoendesha mashindano husika.

Katika mambo yote haya mawili nazipeleka lawama zaidi kwa TFF kwa kushindwa kusimamia taratibu zake ipasavyo ingawa Yanga kwenye suala la Mzize wameonyesha uzembe mkubwa mnooo.
 
Sikuelewa kabisa jambo lile
 
Ukihoji mambo kama haya Watakuona wewe Kolo au Utopolo kutegemea na upande uliohoji.
 
Nimechukua likizo ya muda mrefu kwenye mijadala ya Simba na Yanga ila niseme tu kuwa hii ni kasoro kubwa sana iliyojitokeza leo. Utaruhusuje mchezaji aliye na ugonjwa wa kuambukiza acheze?

Pia niliwahi kuhoji kule Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kuhusu suala la shughuli rasmi ya TFF au ZFF (mfano kama leo mashindano ya FA) kuvamiwa na timu mojawapo kwa kufanya mambo binafsi kama kutambulisha wachezaji. Nilihoji kule Zanzibar na leo nakumbushia tu. Kiprotocali hii haijakaa sawa maana inaonyesha timu zinazocheza mechi hiyo hazina nguvu sawa katika mizania ya wanaoendesha mashindano husika.

Katika mambo yote haya mawili nazipeleka lawama zaidi kwa TFF kwa kushindwa kusimamia taratibu zake ipasavyo ingawa Yanga kwenye suala la Mzize wameonyesha uzembe mkubwa mnooo.
Aisee mmefikia hatua mbaya ya kuchanganyikiwa.
1) tukio la Yanga halijavunja kanuni yeyote ya mchezo kwasababu limefanyika kipindi cha mapumziko na isitoshe Yanga alikuwa ndiye mwenyeji wa mchezo. Au kwenye mchezo wa mpira wa miguu kuna matukio yamekatazwa yasifanyike wakati mchezo ukiwa mapumziko? Embu njoo uniambie Yanga imevunja kanuni ipi.

2) Kuhusu Mzize, kuna ripoti ipi kutoka kwa Daktari ikionesha kuwa Mzize ni mgonjwa wa macho? Kwani kuvimba macho lazima iwe ni ugonjwa?
 
Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana.

Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize, unamkabaje Mzee wa miba?

TFF inapaswa kuingilia kati jambo hili, iko siku tutawekewa mchezaji mwenye ukurutu ama TB.
kumbe kuna muda unakuwa na akili
 
Red eyes huwa haina dawa, ni kuosha macho kwa maji masafi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom