daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Daktari afukuzwa kazi kwa kumdhalilisha mgonjwa

    WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumdhalilisha kijinsia baada ya kumchoma sindano ya usingizi Urambo wilayani Tabora. Agizo hilo amelitoa akiwa Leganga wilayani Arumeru mkoani...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoto: Daktari Samia wewe ni Profesa wa Uchumi

    Katika hafla fupi ya kuapishwa kwa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa wziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika leo November 14, 2025 jijini Dodoma, Mwanamashairi na msanii maarufu kwa kughani Mrisho Mpoto ameonekana katika hafla hiyo akitumbuiza kwa kueleza sifa za Rais Samia.
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera Samia kwa 'ushindwe' wa kishindo hata kabla ya matokeo!

    Hongera mama Samia kwa ushindi hata kabla ya uchaguzi. Kwa vile watanzania wote wanakupenda kiasi kuwa tayari kutoa uhai wako kwa ajili yako, hapakuwa na haja ya kukuchosha na kukuaibisha kwa uchaguzi ambao uliishashinda hata kabla ya kufa Magufuli kwa vile wewe ni chaguo la Mungu.
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Revealed: Watoto waliobemendwa ndio wanatukana sana Mitandaoni. Wazazi wao walikuwa Wazinzi

    Wazazi waliokuwa wanachepuka, ndio wanazaa watoto wenye matatizo. Vijana wote wasio na mchango kwenye Taifa na wale wanaotukanana Mtandaoni, wazazi wao walikuwa Wazinzi, Washerati Washerati na wachepukaji. Watoto wote waliobemendwa ndio wanaoongoza kwa matusi Mitandaoni🤣🤣🤣🤣
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Daktari hapa maana yake nini?

    Tarehe 11 mwezi wa 7 wife alianza period, na siku ya tatu akaanza clomid 50mg kwa siku 5 akinywa orally, sasa tukapin point siku za ovulation tukajamiiana kwa lengo la kupata mimba, sasa akategemea kama period ingeweza kuanza tarehe 10 mwezi wa 8, lakini hakuanza period mpaka leo tarehe 22 , pia...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Daktari feki aliyekamatwa Muhimbili aibukia tena Amana kutapeli watu. Huyu hapa akiwa amebananishwa

    Wakuu, Yaani huyu jamaa bhana hata kujieleza hawezi. Amejikanyaga sana. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana inamshikilia Daktari feki anayejulikana kwa jina moja Mussa aliyetaka kuwatapeli Wagonjwa katika Hospitali hiyo. Mgonjwa mmoja aligundua kuwa Daktari huyo ni feki ndipo akaamua kuujulisha...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua kuwa wamepigwa kwa Conte waliyemsifia na kumpamba sasa wameamua Kumrudisha Daktari wa Mpira Aucho

    Mlionywa mapema sana kuwa Msikurupuke ila kwakuwa mnajifanya nyie ni Wakubwa na mna Hela mkadharau sasa mmeshaumbuka na mnajuta kuingizwa Kingi kumsajili Mchezaji mbovu Conte.
  11. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la kujitunuku shahada ya daktari wa falsafa (PhD)

    Mimi Muungwana Kwa heshima na taadhima, najitokeza mbele ya jamii ya wanafalsafa, wasomi, wanasayansi, waandishi, wanafikra, na watafutaji wa kweli, kuwasilisha tamko langu rasmi la kujitunuku Shahada ya Uzamivu – Daktari wa Falsafa (PhD). Si kwa kupitia taasisi yoyote ya kiserikali au chuo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Daktari wa mifugo

    Habari zaa mudaa huu....Mimi ni DAKTARI WA MIFUGO nipo Dar es salaam Kwa mtu atakayehitaji ushauri wa kidaktari karibunii sana,ofisi ipo Tegeta azania ila tunafika popote ulipo.Tunahudumia wanyama wote mbwa,paka,ng'ombee,mbuzi,kuku,kondoo,sungura Kwa mawasiliano:0684918177
  13. Bueno

    JamiiForums Tanzania Ukiumwa nenda Hospital acha kujifanya Daktari Mwanafunzi

    Wakuu, juzi kati hapa nilipatwa na kahoma nikawa sielewi elewi mwili wangu huu vipi. Basi mimi na JF Doctaz Jukwaa la Afya ni sehemu yangu ya kupokea maarifa mawili mawili matatu kuhusu magonjwa mbalimbali na Afya zetu, nikajikusanya nikaingia JF nikaanza kuandika dalili kwenye search box pale...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Mbunge miaka 5 tu anavuta fao la 400M, Mtumishi wa umma daktari, mwalimu nk miaka 30+ hupata 100M. Hii siyo haki. Reforms hapa lazima

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania Deus Kibamba ametoa tahadhari kuhusiana na kile alichokitaja kama "unono" wa kisiasa na kutokuwepo kwa uwiano wa mgawanyo wa maslahi ya kiutumishi (keki ya taifa) ktk sekta ya umma unaowasukuma watumishi wengi kuacha kazi na kukimbilia kwenye siasa...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Hivi daktari akiumwa nae huenda kwa daktari? Au hujitibu tu mwenyewe?

    Leo nimejiskia hovyo nikaenda kwa dokta flani hospital flani, nilichojieleza na tiba niliyopewa naona kama haviendani Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe? Madaktari njoeni mseme
  16. L

    JamiiForums Tanzania Daktari wa China akumbukwa nchini Tanzania kwa kujitoa muhanga kishujaa

    Daktari wa ganzi wa China, Zhang Junqiao, aliwahi kusema kwamba "Bila kujali utaifa au rangi, ninachothamini zaidi ni maisha," Asubuhi ya siku ya Ijumaa, zaidi ya watu 300 walikusanyika huku kukiwa na kimya kizito katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, Tanzania, na...
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Bongo Nyoso mtu ana Certificate ya Clinical Officer anajiita Daktari (MD)

    Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni. Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing. Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  19. Fredrick stephano

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nachelewa sana kufika kileleni

    Msaada ndugu zangu mwenzio nina changamoto ya kuchelewa kufika kileleni, inanichukua saaa mbili na bado niko strong nifanyeje au kama kuna daktari anisaidie.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

    Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara). Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake...
Back
Top Bottom