covid 19

Coronavirus disease 2019 (COVID-19) is a contagious disease caused by severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2). The first case was identified in Wuhan, China, in December 2019. The disease has since spread worldwide, leading to an ongoing pandemic.Symptoms of COVID-19 are variable, but often include fever, cough, fatigue, breathing difficulties, and loss of smell and taste. Symptoms may begin one to fourteen days after exposure to the virus. At least a third of people who are infected do not develop noticeable symptoms. Of those people who develop noticeable symptoms, most (81%) develop mild to moderate symptoms (up to mild pneumonia), while 14% develop severe symptoms (dyspnea, hypoxia, or more than 50% lung involvement on imaging), and 5% suffer critical symptoms (respiratory failure, shock, or multiorgan dysfunction). Older people are more likely to have severe symptoms. Some people continue to experience a range of effects—known as long COVID—for months after recovery, and damage to organs has been observed. Multi-year studies are underway to further investigate the long-term effects of the disease.The virus that causes COVID-19 spreads mainly when an infected person is in close contact with another person. Small droplets and aerosols containing the virus can spread from an infected person's nose and mouth as they breathe, cough, sneeze, sing, or speak. Other people are infected if the virus gets into their mouth, nose or eyes. The virus may also spread via contaminated surfaces, although this is not thought to be the main route of transmission. The exact route of transmission is rarely proven conclusively, but infection mainly happens when people are near each other for long enough. People who are infected can transmit the virus to another person up to two days before they themselves show symptoms, as can people who do not experience symptoms. People remain infectious for up to ten days after the onset of symptoms in moderate cases and up to 20 days in severe cases.Several testing methods have been developed to diagnose the disease. The standard diagnostic method is by detection of the virus' nucleic acid by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (rRT-PCR), transcription-mediated amplification (TMA), or by reverse transcription loop-mediated isothermal amplification (RT-LAMP) from a nasopharyngeal swab.
Preventive measures include physical or social distancing, quarantining, ventilation of indoor spaces, covering coughs and sneezes, hand washing, and keeping unwashed hands away from the face. The use of face masks or coverings has been recommended in public settings to minimise the risk of transmissions. Several vaccines have been developed and several countries have initiated mass vaccination campaigns.
Although work is underway to develop drugs that inhibit the virus, the primary treatment is symptomatic. Management involves the treatment of symptoms, supportive care, isolation, and experimental measures.

View More On Wikipedia.org
  1. BASIASI

    #COVID19 PIC Makubi chunguza kitengo cha COVID 19 JNIA, wasafiri wanalazimishwa kulipia tena wakati washachanjwa

    Haya malamiko niliyapata wiki sasa nilikuja kupokea Wamalawi sita wana docs zote kuonyesha wamechanjwa na hawana Covid. Wazee wa JNIA pengine wamo uliowasimamisha kazi wamekuwa wakisumbua sana wasafiri kwa kuwalazimisha kutoa hela ingawa wengi wakishatoa wanapitiliza nje. Nashauri wenye kuwa...
  2. Opportunity Cost

    Iraq: Watu 82 Wafariki kwa moto kwenye hospitali ya Covid 19

    Nchini Iraq takribani watu 82 wamefariki kufuatia mlipuko wa moto kwenye hospitali iliyokuwa inatibu wagonjwa wa covid 19. Wengi wa waliofariki ni wagonjwa waliokuwa wamelezwa hospotalini hapo. Kwa Mujibu wa vyanzo,inasemekana waya wa umeme uliokuwa una hitirafu ulipelekea mtungu wa gas ya...
  3. kmbwembwe

    Serikali yaangukia pua mtego wa mabeberu kuhusu covid 19 kwa kutaka kukopeshwa $571milion

    Hatimae inaelekea mtego wa mabeberu wa covid 19 utafyatuka kuinasa Serikali ya Samia. IMF na Benki ya Dunia wako kwenye mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kuikopesha kiasi cha dola za kimarekani $571 milioni. Kiasi hicho ni takriban sawa na shilingi za kitanzania trilion 1.2. Hizo ni hela...
  4. R

    #COVID19 National treatment policy ya Covid 19 kwa Tanzania ni ipi?

    Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kila hospitali inatibu Covid 19 kadri inavyoona inafàa. Hakuna mwongozo maalumu wa kitaifa kutoka mamlaka husika. Nasema hivyo kwa sababu nimeuguza wagonjwa kadhaa including me katika hospitali tofauti tofauti na kushuhudia kila hospitali inatoa dawa kadri...
  5. Erythrocyte

    #COVID19 Watanzania waanza kujiachia na Chanjo ya COVID 19 kwenye nchi za watu

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa TFF Aliyeenguliwa kwa fitna , Oscar Oscar na Rafiki yake ambaye sikumtambua jina lake wametangaza hadharani kwamba wamepata chanjo ya corona nchini Marekani, watu hao wawili ni raia wa Tanzania nchi ambayo miezi michache iliyopita iliamini kwamba virusi vya corona...
  6. 2019

    #COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

    Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida. Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi. Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya...
  7. K

    #COVID19 Serikali itoe tamko suala la maziko ya watu waliokufa kwa COVID-19 au waliokuwa na changamoto ya upumuaji

    Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu. Natoa rai kwa Serikali...
  8. T

    #COVID19 Nahisi nina Covid 19

    Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta. Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote. Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za...
  9. Replica

    #COVID19 Dr. Anthony Diallo: Corona bado ipo, apendekeza 'Level seat' kwenye daladala na Mask

    Mwandishi: Kwanini unanisalimia hivi(Alimpa mkono, Diallo akampa gonga), wakati fulani tulipita hapa tukawa tunaamini tumeshatoka kwenye Covid. Awamu iliyopita tulikuwa tunasali na kumuomba Mungu, Covid haipo. Bado una wasiwasi na Covid Dr. Diallo: Covid ipo, jana nilimsikia mkuu wa mkoa...
  10. Kijogoodi

    #COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

    Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona! Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona? Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na 1. Waziri mkuu 2. Rais...
  11. kimsboy

    #COVID19 UN yaipa Tanzania takribani Dola 900,000 kusaidia wahanga wa UVIKO-19

    UN yaipa Tanzania karibu dola laki tisa kusaidia wahanga wa UVIKO-19. Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umeipa Tanzania karibu dola laki 8 na 83 elfu kwa ajili ya kusaidia wakulima wadogo zaidi ya elfu 6 nchini Tanzania ambao wameathiriwa na janga la ugonjwa wa korona au...
  12. kavulata

    #COVID19 Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  13. P

    #COVID19 Tukiwa wakweli na wawazi kuhusu COVID-19, tutapona na kuwa taifa lenye kustaajabisha

    Salaamu Watanzania! Duniani kote, habari kuu ni Wimbi la tatu la Corona, habari hizi zinaendana na mpango wa chanjo, mpango ambao unatumia matrioni ya fedha kufanikisha hili. Tanzania nayo haikuachwa nyuma, licha kwamba, kipindi cha nyuma huko, mpango huu haukuwa na umhimu wowote zaidi ya...
  14. Analogia Malenga

    #COVID19 Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

    Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
  15. Analogia Malenga

    #COVID19 WHO: Nchi 16 Afrika zimekumbwa na kirusi kipya cha Delta

    Wimbi la tatu la janga la COVID-19 kwa kirusi cha Delta linasambaa kwa kasi barani Afrika na mpaka sasa nchi 16 za bara hilo zimebainika kukumbwa na kirusi hicho. Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), kirusi hicho kinasambaa kwa kasi zaidi barani Afrika kuliko wakati wowote ukilinganisha...
  16. crome20

    Huu ujumbe kwenye social Media kuhusu COVID 19 ni wa uhakika?

    Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification "Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili gonjwa,dalili za wave hii zipo so vague.wagonjwa wengi waliokuwa wamekuja Leo clinic waliokuwa wanalalamika...
  17. J

    IMF yamhakikishia Rais Samia itasaidia mapambano dhidi ya Covid 19 na kuhuisha sekta zilizodororeshwa na Corona ikiwemo Utalii.

    Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona. Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii. Chanzo: ITV habari
  18. Shujaa Mwendazake

    #COVID19 DC Jokate punguza kuji-brand. Kwanini TMK Marathon na COVID hii?

    Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead umeanza na ileile tabia yako ya kujibrand ili uonekane. Kumbuka hizi ni zama za Samia Suluhu Hassa...
  19. Planett

    #COVID19 Indonesia: Miji yazawadia wananchi kuku kwa wanaopata chanjo

    Habari wakuu, Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja pale watakapokubali kuchanjwa chanjo hiyo. Mbinu hiyo imezaa matunda kwani wazee wengi wamejitokeza...
Back
Top Bottom