covid 19

Coronavirus disease 2019 (COVID-19) is a contagious disease caused by severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2). The first case was identified in Wuhan, China, in December 2019. The disease has since spread worldwide, leading to an ongoing pandemic.Symptoms of COVID-19 are variable, but often include fever, cough, fatigue, breathing difficulties, and loss of smell and taste. Symptoms may begin one to fourteen days after exposure to the virus. At least a third of people who are infected do not develop noticeable symptoms. Of those people who develop noticeable symptoms, most (81%) develop mild to moderate symptoms (up to mild pneumonia), while 14% develop severe symptoms (dyspnea, hypoxia, or more than 50% lung involvement on imaging), and 5% suffer critical symptoms (respiratory failure, shock, or multiorgan dysfunction). Older people are more likely to have severe symptoms. Some people continue to experience a range of effects—known as long COVID—for months after recovery, and damage to organs has been observed. Multi-year studies are underway to further investigate the long-term effects of the disease.The virus that causes COVID-19 spreads mainly when an infected person is in close contact with another person. Small droplets and aerosols containing the virus can spread from an infected person's nose and mouth as they breathe, cough, sneeze, sing, or speak. Other people are infected if the virus gets into their mouth, nose or eyes. The virus may also spread via contaminated surfaces, although this is not thought to be the main route of transmission. The exact route of transmission is rarely proven conclusively, but infection mainly happens when people are near each other for long enough. People who are infected can transmit the virus to another person up to two days before they themselves show symptoms, as can people who do not experience symptoms. People remain infectious for up to ten days after the onset of symptoms in moderate cases and up to 20 days in severe cases.Several testing methods have been developed to diagnose the disease. The standard diagnostic method is by detection of the virus' nucleic acid by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (rRT-PCR), transcription-mediated amplification (TMA), or by reverse transcription loop-mediated isothermal amplification (RT-LAMP) from a nasopharyngeal swab.
Preventive measures include physical or social distancing, quarantining, ventilation of indoor spaces, covering coughs and sneezes, hand washing, and keeping unwashed hands away from the face. The use of face masks or coverings has been recommended in public settings to minimise the risk of transmissions. Several vaccines have been developed and several countries have initiated mass vaccination campaigns.
Although work is underway to develop drugs that inhibit the virus, the primary treatment is symptomatic. Management involves the treatment of symptoms, supportive care, isolation, and experimental measures.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Tundu Lissu: Leo nimekamilisha chanjo ya Corona kwa kuchomwa sindano ya pili, mimi nimechanja Astra Zeneca!

    Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania wote kujitokeza na kuchanja ili kwa pamoja tuishinde na kuitokomeza Corona. Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo yake ya Corona kwa kuchoma sindano ya pili na kwamba yeye amechanja aina ya Astra Zeneka. Mungu ni...
  2. GUSSIE

    Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
  3. TheChoji

    Waoga wa Sindano: Mikakati gani tutumie kuchanjwa?

    Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
  4. mwehu ndama

    Watendaji wa Maabara ya Taifa ya Tanzania mmeshindwa kazi!

    Wakuu, Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6. Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
  5. Nyankurungu2020

    Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

    Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga. Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
  6. A

    Sichanjwi na nikifa roho yangu ikawe laana kwa kila kiongozi aliyesema chanjo ni mbaya

    Habari wadau, leo nimeona niiweke msimamo wangu juu ya chanjo sababu Maneno yamekua Mengi Nasema hivi sichanji chanjo yoyote Ile sababu Serikali yangu ilikuwa kila nikilala nikiamka nakuta kuwa chanjo ya Corona haifai na watanzania tusikubali. Ikiwa kama viongozi wote walishiriki kutuambia hayo...
  7. MR TOXIC

    Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

    Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua. UPDATE: 06 August, 2021 Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha. Aidha...
  8. N

    Viongozi wa CHADEMA wanahamasisha chanjo ya Corona ila hatuwaoni wakichanjwa

    Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao. Leo hii maneno hayo yanatimia kwa Viongozi wa Chadema. Wamekuwa wakihamasisha sana juu ya chanjo...
  9. Sarikiaeli

    Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  10. J

    Wananchi waelimishwe zaidi ili kuondoa dhana potofu juu ya chanjo ya Covid-19

    Imeandikwa na JEC Dunia ina mengi nayo mengi hayana maana, ni msemo ambao unatumika kwa muda mrefu hapa nchini kwetu, lakini kwasasa jambo linalosemwa kwa maneno mengi yasiyo na maana ni chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Covid-19. Kila mtu amekuwa na lake la kusema iwe ni mtaani...
  11. Determinantor

    Upotoshaji wa Chanjo ya CoVid 19: Nusura nijeruhiwe na Wanakijiji

    Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious. Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa kufika kwenye shule X huko kanda ya MAGHARIBI ili kuonana na Mkuu wa shule kwa akili issue Fulani...
  12. MWAISEMBA CR

    Ni ujinga na ukosefu wa maarifa unawasumbua waafrika na watanzania kuhusu chanjo ya COVID-19

    NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19 Na: Shujaa Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
  13. The Assassin

    Watengeneza chanjo ya Covid-19 aina ya Pfizer na Moderna wapandisha bei ya chanjo

    Watengeneza chanjo ya Covid-19 aina ya Pfizer na Moderna wamepandisha bei ya Chanjo. Taarifa iliyotolewa leo na jarida ya Financial Times limesema Moderna na Pfizer wameingia mkataba mpya wa bei mpya ya chanjo zao kwa Umoja wa Ulaya. Pfizer sasa itauzwa Dollar 23.15 (TZS 54,147) ama Euros 19...
  14. J

    Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

    Ibada inaendelea. Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi. Rais Samia amechagua kuchanja naye yuko sahihi. Msinigombanishe na mwenyekiti wangu wa chama. ======== Josephat...
  15. J

    Askofu Gwajima azipatanisha CCM na Chadema, zote zinapinga msimamo wake kuhusu Chanjo!

    Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona. Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika Umoja. Mungu ni mwema wakati wote!
  16. M

    Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

    Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
  17. 4

    Covid-19 ipo, tuhamasishane kila mtaa kuanza mazoezi ya kutembea angalau kilomita 1 kila Jumamosi

    Mazoezi pia ni fursa nzuri ya kujikinga na Corona, Kwa umoja wetu kuanzia MTAA Tanzania nzima tuhamashishane Sasa kufanya mazoezi ya kutembea angalau km1- 3 kila jmosi ya wiki, itapendeza Sana tukianza jmosi ya week ijayo. Mazoezi ya kutembea ni mepesi mno hata mzee anaweza kufanya. Kwa...
  18. Miss Zomboko

    Marufuku hospitali za umma, binafsi kulipisha chanjo ya COVID-19

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati wa usambazaji wa chanjo hizo kwenda mikoa...
  19. J

    Waziri Gwajima: Mikoa itakayozembea kuchanja Corona itanyang'anywa chanjo na kupelekewa mikoa iliyochangamka

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema mikoa itakayoonyesha kusuasua kwenye uchanjaji wa Corona basi watanyang'anywa hizo chanjo na kupelekewa mikoa iliyochangamka katika uchanjaji. Chanzo: Star tv habari Mungu ni mwema wakati wote!
  20. FATHER OF REALITY

    Je, Tanzania ilifaulu au ilifeli kupambana na COVID-19

    Nilizingatia msimamo tuliokuwa nao COVID-19 ilipoingia nchini kwa mara ya kwanza, nilikuwepo wakati wa wimbi la pili la maambukizi, na nashukuru pia nipo kipindi hiki cha wimbi la tatu la maambukizi na hatua zinazochukuliwa. Najiuliza je, tulifaulu au kushindwa awamu ya kwanza ya COVID-19, na...
Back
Top Bottom