#COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19.

Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19.

Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali, serikali imejitoa kwa yoyote yatakayokukuta ukipewa chanjo usije kuilaumu wala kuishtaki.

--
New Jersey health officials say that almost 50 fully vaccinated people have died from COVID-19, according to data through July 12, NJ Advance Media reported on Wednesday.

Donna Leusner, a spokeswoman for the state Department of Health, told the news outlet that all 49 people who died were over 50 years old. Thirty were over 80 years old, 13 people were between 65 and 79 years old, and six were between 50 and 64 years old.

Leusner also said many of the people who died had preexisting conditions. Seventeen people had cardiovascular disease, nine had cancer or other conditions that compromised their immune systems and seven had diabetes, the news outlet reported. Others had chronic conditions in the lungs, kidney and liver.

The number of vaccinated people who have died from COVID-19 represents a slight uptick since New Jersey Gov. Phil Murphy (D) announced on Monday that 31 inoculated people had died from the coronavirus, according to NJ Advance Media.

Source: New Jersey officials say nearly 50 fully vaccinated residents have died from COVID-19
 
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19.

Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19.

Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali, serikali imejitoa kwa yoyote yatakayokukuta ukipewa chanjo usije kuilaumu wala kuishtaki.

Soma zaidi hapa.
Asante kwa propaganda

Ila Kigwangwala kachoma jana. Ngoja tuone kama atakufa?

Anti vaxx mnazingua sana kwa kujitoa ufahamu
 
Mkuu, wakiwa na chanjo ya malaria, maana yake janga la malaria wawe wanalisikia kwa wengine. Kama wana sukari, tezi dume, hbp, basi wafe kwa hayo matezi dume, sukari, saratani na ama ajali lakini si kwa malaria.

Kuna shida kwenye hizo chanjo bado. Hazijajaribiwa, zimetolewa misaada huku ili kama ni hayo majanga, yatupate siye. Nitatumia Bicaro, lakini siyo hizo chanjo.
Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
 
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19.

Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19.

Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali, serikali imejitoa kwa yoyote yatakayokukuta ukipewa chanjo usije kuilaumu wala kuishtaki.

Soma zaidi hapa.
Wazee wa Propaganda pumzi imekata! Mzigo ushaingia!
 
Ndio watu waelewe kuugua na kufa kuko palepale, ikiwa una magonjwa sugu, chanjo inapunguza kasi ya mashambulizi ya kirusi but haimanishi huwezi kufa,
Usibadili agenda. Hoja siyo kufa. na hakuna chanjo ya kifo, na hawakuchanjwa ili wasife.

POINT NI HII.

"WOTE 50, WALICHANJWA FULL DOZE YA KINGA Y A CORONA, WAMEKUFA KWA CORONA"

Wewe unasemaje hapo?
 
Chanjo zimesaidia sana kupunguza maambukizi ná vifo katika nchi nyingi za Magharibi. Pamoja ná hayo bado kwa wale wenye chronicle diseases ni lazima wajikinge vinginevyo watapata maambukizi ná kufa ukilinganisha ná wale wenye afya njema ná wamepata chanjo zote. Hawa hata wakipata maambukizi basi ni ugonjwa mdogo sana kwao hauhitaji kulazwa hata uwezekano wa kifo ni mdogo sana.
Mkuu, wakiwa na chanjo ya malaria, maana yake janga la malaria wawe wanalisikia kwa wengine. Kama wana sukari, tezi dume, hbp, basi wafe kwa hayo matezi dume, sukari, saratani na ama ajali lakini si kwa malaria.

Kuna shida kwenye hizo chanjo bado. Hazijajaribiwa, zimetolewa misaada huku ili kama ni hayo majanga, yatupate siye. Nitatumia Bicaro, lakini siyo hizo chanjo.
 
Mimi pia nimepata chanjo zote mbili kwa chanjo ambayo nilikuwa naitaka sana ya Pfizer lakini sina mpango wa kuachana ná barakoa, kuepuka misongamano au kunawa mikono anytime soon. Life is so beautiful and precious and I’ll try my level best to enjoy this life to the FULLEST.
Mie nimepata chanjo zote mbili toka February lakini bado navaa barakoa. Ni chaguo lako kwani huu ugonjwa umetengenezwa China na sijui kama bahati mbaya au maksudi umeletwA kutupunguza duniani.
 
Ni kweli kiongozi. Wote 50 waliokuwa fully vaccinated against COVID 19, wamekufa kwa Covid 19!.

1. Wote 50, wlaiokuwa fully vaccinated walikuwa na magonjwa ya ziaida? Inawezekana.
2. Wote 50, waliopata doze kamili ya nchanjo dhidi ya covid 19, wemekufa Kwa COVID 19 na si kwa magonjwa yale mengine!. (Hapa ikoje?)
3. Hapa kwa kuwa tunajaribiwa badala ya panya buku, tunaweza kuwa na hypothesis ipi hapa wakati binadamu anazidi kufanyiwa majaribio ya kitu asichokijua?

Back
Top Bottom