#COVID19 Unajua kwanini Covid 19 haina kinga wala tiba?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,989
35,668
Wataalam wa History wanasema binadamu alitokana na nyani au sokwe siju miaka maelfu
Kwangu hili halina ubishi maana wengi wetu hapa ukiangalia picha ya bibi yako na ukajiangalia wewe au mtoto wako utagundua kuwa wewe au mtoto wako ni mzuri sana kwa sura na umbo kuliko bibi
yako.
Kuna familia nazifahamu wazazi wakawaida ila wamezaa watoto pisi kali hatari hii ndio evolution.

Angalia picha za marais wa marekani kuanzia George Washington mpaka sasa,ukiondoa Bush na Trump the rest muonekano wao unavutia kadri seniority inavyopanda,look at obama,clinton,kennedy etc.

Kampuni ya Toyota iliwahi tengeneza gari za land cruiser vx zenye hitilafu,walichofanya ni kuzikusanya na kuzirudisha kiwandani kuzifanyia recycling.

Covid 19 imekuja kurudisha watu wenye hitilafu kiwandani na kubakiza watu fulani inaowataka miaka kumi ijayo dunia itabaki na watu wenye specification zinazofanana,wale wenye mapungufu watarudishwa kiwandani (ahera).
Hapo ndio maana ya evolution of human being itajidhihirisha.

Watakaobaki watashangaa kusikia kuna watu waliwahi kuishi duniani wakiwa na mapungufu fulani ya kibaiolojia
Usijisumbue kujikinga wala kuchanja kama wewe ni unamapungufu utarudishwa tu kiwandani (utakufa)kama uko vizuri utaishi tu hata bila kuchanja

.......kumbuka ile mijusi ya dinosaur iliyotoweka duniani

Why this?may be kutakuja balaa kubwa zaidi ya hili so dunia kazima iwe ba watu ngangari watakao himili hilo balaa..ndio maana wadhaifu wanarudishwa kiwandani mapema.
Itaendelea......
 
You are right.....
kuna species flani za binadamu lazima ziondoke....
survival for the fitest....
 
Niliwahi kumsikiliza Sheik mmoja kwenye mawaidha yake akasema dhana ya binadam na sokwe inakosa mashiko kwani kila leo binadam wapo na sokwe bado wapo. Hatujaona Sokwe wakianza kubadilika na kuanza kuw na miguu 2 angalau anatembea nusu wima kuashiria sasa sokwe anaa za kuwa binadam kama ushahidi mdogo ambapo binadam mtoto anavyobadilika huku sote tukishuhudia
 
Mkuu ,these people are ideologues ,money isn't the 'be all end all' to them..
May be ila mi huwa naona eti the elite ni kama kiduka cha mangi na sisi ni wateja,ndio maana anatuuzia,anatukopesha,anatukenulia etc,tukihama mtaa atakula nini na hana source nyingine ya income
 
True but I think They do that because Money is the only means to reach their ultimate goals...ndo maana wengi wata-donate a large portion of their wealth to many causes that they believe in...
 
Niliwahi kumsikiliza Sheik mmoja kwenye mawaidha yake akasema dhana ya binadam na sokwe inakosa mashiko kwani kila leo binadam wapo na sokwe bado wapo. Hatujaona Sokwe wakianza kubadilika na kuanza kuw na miguu 2 angalau anatembea nusu wima kuashiria sasa sokwe anaa za kuwa binadam kama ushahidi mdogo ambapo binadam mtoto anavyobadilika huku sote tukishuhudia
Masheikh,mapadri na wote wanaoamini dini wanaamini binadamu aliumbwa na Mungu kupitia Adam na Hawa,hii ya masokwe tuachieni sisi mapagani au tunaoitumia kujibia mitihani,so huyo sheikh kwa imani yake alikuwa sahihi
 
Labda MUNGU aruhusu mpango wa binadamu fulani kujiona wao ndio wana haki ya kuishi duniani na kuwateketeza binadamu wenzao wanaoona si wa aina yao
 
Back
Top Bottom