covid 19

Coronavirus disease 2019 (COVID-19) is a contagious disease caused by severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2). The first case was identified in Wuhan, China, in December 2019. The disease has since spread worldwide, leading to an ongoing pandemic.Symptoms of COVID-19 are variable, but often include fever, cough, fatigue, breathing difficulties, and loss of smell and taste. Symptoms may begin one to fourteen days after exposure to the virus. At least a third of people who are infected do not develop noticeable symptoms. Of those people who develop noticeable symptoms, most (81%) develop mild to moderate symptoms (up to mild pneumonia), while 14% develop severe symptoms (dyspnea, hypoxia, or more than 50% lung involvement on imaging), and 5% suffer critical symptoms (respiratory failure, shock, or multiorgan dysfunction). Older people are more likely to have severe symptoms. Some people continue to experience a range of effects—known as long COVID—for months after recovery, and damage to organs has been observed. Multi-year studies are underway to further investigate the long-term effects of the disease.The virus that causes COVID-19 spreads mainly when an infected person is in close contact with another person. Small droplets and aerosols containing the virus can spread from an infected person's nose and mouth as they breathe, cough, sneeze, sing, or speak. Other people are infected if the virus gets into their mouth, nose or eyes. The virus may also spread via contaminated surfaces, although this is not thought to be the main route of transmission. The exact route of transmission is rarely proven conclusively, but infection mainly happens when people are near each other for long enough. People who are infected can transmit the virus to another person up to two days before they themselves show symptoms, as can people who do not experience symptoms. People remain infectious for up to ten days after the onset of symptoms in moderate cases and up to 20 days in severe cases.Several testing methods have been developed to diagnose the disease. The standard diagnostic method is by detection of the virus' nucleic acid by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (rRT-PCR), transcription-mediated amplification (TMA), or by reverse transcription loop-mediated isothermal amplification (RT-LAMP) from a nasopharyngeal swab.
Preventive measures include physical or social distancing, quarantining, ventilation of indoor spaces, covering coughs and sneezes, hand washing, and keeping unwashed hands away from the face. The use of face masks or coverings has been recommended in public settings to minimise the risk of transmissions. Several vaccines have been developed and several countries have initiated mass vaccination campaigns.
Although work is underway to develop drugs that inhibit the virus, the primary treatment is symptomatic. Management involves the treatment of symptoms, supportive care, isolation, and experimental measures.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Malawi kuharibu chanjo 19,000 za Covid 19 zilizopitisha muda wa matumizi

    Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano. Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na hakuna data ya kutosha kujua ikiwa ni salama kutumiwa, kufuatia mwongozo kutoka kwa Shirika la Afya...
  2. comte

    Taarifa ya tume ya Corona imetoa mapendekezo zaidi kuliko hali halisi ya ugonjwa kwa sasa nchini

    Nimeikuta mahali kutoka kwa mwananchi wa kawaida kutoka kijijini kwetu, amezungumza haya kama maoni yake binafsi: "Taarifa ya utafiti wa uviko -19(covid -19) inatoa mapendekezo zaidi na sio hali ya sasa ya corona nchini, na hali ya corona kwa siku zilizopita na athari zake. Binafsi nashangaa...
  3. P

    Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

    Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali. Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
  4. J

    Dkt. Kigwangalla: Uchumi wa dunia utakua kwa kasi baada ya COVID-19 kudhibitiwa, tuchangamkie CHANJO sasa

    Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa. Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
  5. funaku

    Tuache kuwa madalali na soko la chanjo ya Covid 19

    Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya Covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni chanjo ya Ukimwi na Hatimaye Covid 19. Itasikitisha sana tukiingizwa mkenge wa kununua au kukopeshwa...
  6. P

    Bunge na wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Nimeona mwongozo wa spika kwa viongozi wa vyama vya siasa kuhusu kufukuza wanachama wabunge. Naona huyu bwana anataka kuujulusha umma kuwa wabunge ni wanachama wa vyama wa daraja la kwanza ambapo wakifukuzwa sharti makosa yao, vikao vya kuwafukuza, wajumbe waliohudhuria, rufaa zao za mavazi...
  7. Webabu

    Rais Duterte wa Ufilipino ajuta kuchanjwa Covid 19

    Raisi matata wa Philippines ,Rodrigo Duterte amesema amejuta kuchanjwa kwa chanjo ya kichina iitwayo Sinopharm huku akihofia afya yake. Wakati huo huo raisi Duterte ameutaka ubalozi wa China nchini humo kwenda kuchukua chanjo zao 1000 za Sinopharm walizozitoa kama msaada kwa Phillipines. Raia...
  8. sky soldier

    Rais Kenyata na Samia walikutana kwa tahadhari za Covid ila wameagana bila tahadhari

    Inapendeza sisi ni ndugu Hata wanyama wa Tanzania wakienda kenya.
  9. Shadow7

    Kenya yaondoa marufuku ya watu kutoka nje ‘Lockdown’

    Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
  10. Nyani Ngabu

    Mapambano dhidi ya COVID-19: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kinachoendelea India kinatisha

    Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19? Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi! Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana. Sasa kweli hiyo kamati...
  11. M

    Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  12. S

    Je, hii ni Covid 19 wimbi la 3 au 4?

    Wakati serikali ikiandaa kamati maalum ya kushughulikia gonjwa la Covid 19, naomba kuuliza hivi hii Covid 19 iliyopo India kwa sasa ndio hiyo ya awamu ya Nne au bado hii ya awamu ya tatu? Maana India Jamani hali ni mbaya sana sana mpaka umoja wa mataifa umetoa tamko rasmi la kuingalia India...
  13. Kifurukutu

    Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  14. COARTEM

    SWALI FIKIRISHI: Je, Magufuli ameondoka na Corona? Hatusikii tena kelele zake

    Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania. Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
  15. R

    In the era of covid 19 pandemic: Tuna mahitaji yanayotofautiana sana in terms of defying Covid-19 restrictions

    1. Wazungu wana defy covid restriction ili waende beach kuogelea. Wao shida yao ni kustarehe! Beach partygoers in Barcelona defy Covid-19 restrictions 2. Wahindi wamefanya kitu kinaitwa super spreader kwa kwenda mto Ganges kuogelea ili watakaswe dhambi zao! wao shiida yao ni dini, waondolewe...
  16. Nyendo

    Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  17. W

    NIMRI na chanjo/tiba ya Covid-19 mbona kimya?

    Nimewakumbuka hawa watafiti wetu, Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona. Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu? Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga? Naona wamekuwa kimya kama hakuna...
  18. V

    EU countries consider covid-19 vaccine passport

    Nchi za EU wanafikiria kuanzisha mpanga wa covid vaccine passport miongoni mwa nchi wanachama. Hii ni moja ya mkakati wa kukabiliana na covid 19 miongoni mwa raia wao wanaposafiri. TUTAELEWANA TU ====== A patchwork: Europe and COVID-19 vaccination passports European Union leaders moved...
  19. Analogia Malenga

    Museveni atangaza kupata dawa ya Corona

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba wanasayansi nchini humo wamepiga hatua kubwa sana katika kupata tiba dhidi ya Corona. Katika hotuba kwa taifa jana jumapili, Museveni amesema kwamba wanasayansi nchini humo wamefanyia majaribio tiba hiyo ambayo hakutoa maelezo zaidi, akiongezea...
  20. beth

    Urusi yaidhinishwa chanjo ya kwanza ya CoronaVirus duniani

    Rais Vladimir Putin ametangaza kuwa Urusi imeidhinisha rasmi chanjo ya COVID19 iliyotengenezwa na Taasisi ya Galameya iliyopo Mji Mkuu wa nchi hiyo, Moscow Akizungumza na Mawaziri kupitia mtandao, Rais Putin (67) amesema hii ni mara ya kwanza kwa chanjo dhidi ya CoronaVirus kuidhinishwa duniani...
Back
Top Bottom