covid 19

Coronavirus disease 2019 (COVID-19) is a contagious disease caused by severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2). The first case was identified in Wuhan, China, in December 2019. The disease has since spread worldwide, leading to an ongoing pandemic.Symptoms of COVID-19 are variable, but often include fever, cough, fatigue, breathing difficulties, and loss of smell and taste. Symptoms may begin one to fourteen days after exposure to the virus. At least a third of people who are infected do not develop noticeable symptoms. Of those people who develop noticeable symptoms, most (81%) develop mild to moderate symptoms (up to mild pneumonia), while 14% develop severe symptoms (dyspnea, hypoxia, or more than 50% lung involvement on imaging), and 5% suffer critical symptoms (respiratory failure, shock, or multiorgan dysfunction). Older people are more likely to have severe symptoms. Some people continue to experience a range of effects—known as long COVID—for months after recovery, and damage to organs has been observed. Multi-year studies are underway to further investigate the long-term effects of the disease.The virus that causes COVID-19 spreads mainly when an infected person is in close contact with another person. Small droplets and aerosols containing the virus can spread from an infected person's nose and mouth as they breathe, cough, sneeze, sing, or speak. Other people are infected if the virus gets into their mouth, nose or eyes. The virus may also spread via contaminated surfaces, although this is not thought to be the main route of transmission. The exact route of transmission is rarely proven conclusively, but infection mainly happens when people are near each other for long enough. People who are infected can transmit the virus to another person up to two days before they themselves show symptoms, as can people who do not experience symptoms. People remain infectious for up to ten days after the onset of symptoms in moderate cases and up to 20 days in severe cases.Several testing methods have been developed to diagnose the disease. The standard diagnostic method is by detection of the virus' nucleic acid by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (rRT-PCR), transcription-mediated amplification (TMA), or by reverse transcription loop-mediated isothermal amplification (RT-LAMP) from a nasopharyngeal swab.
Preventive measures include physical or social distancing, quarantining, ventilation of indoor spaces, covering coughs and sneezes, hand washing, and keeping unwashed hands away from the face. The use of face masks or coverings has been recommended in public settings to minimise the risk of transmissions. Several vaccines have been developed and several countries have initiated mass vaccination campaigns.
Although work is underway to develop drugs that inhibit the virus, the primary treatment is symptomatic. Management involves the treatment of symptoms, supportive care, isolation, and experimental measures.

View More On Wikipedia.org
  1. The Assassin

    Baada ya Israel kuchanja 70% ya watu wake dhidi ya Covid 19, maambukizi yarudi kwa kasi kubwa

    Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea. Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa. Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi...
  2. U

    Covid-19 hii ni vita ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili

    Kuna kitu hapa, hii ni vita ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili. Kuna video na picha za matukio mbalimbali tutakua tunayajadiri humu kuhusu hili swala na kuzifafanua kwa ajili ya afya ya kwenu, watoto wenu na WAJUKUU wenu. Vijana wengi hawakubaliani na maamuzi ya wazee na hawana nguvu na mali ya...
  3. R

    Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  4. Z

    Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

    Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
  5. L

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  6. Idugunde

    Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

    Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii. Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua...
  7. Mwanza kwetu pia

    Neno UVIKO-19 wamelipata wapi?

    Habari zenu wana Jamiiforums, poleni na majukumu ya kutwa nzima. Bila kupoteza muda, ugonjwa wa Corona baada ya kuonekana kutokuwa kwenye mjumuisho wa magonjwa hatari yanayotambulika na shirika la afya dunia yaani WHO, Hivyo WHO waliamua kuuingiza kwenye orodha ya magonjwa hatari na kuutafutia...
  8. Analogia Malenga

    Uwepo wa COVID-19 umesababisha migogoro ya ajira kuongezeka

    Tumeya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Ajira imesema baada ya kuibuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 imepokea migogoro inayofi kia 18,222 kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu. Kaimu Msemaji wa tume hiyo, Nahshon Mpula alisema hayo alipozungumza na televisheni ya Azam. Alisema ongezeko la...
  9. mugah di matheo

    Siasa za nchi yetu na wingi wa vifo mitaani

    Habari wadau wa JF Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19. Tukiangalia mtaani vifo vimekuwa vingi lakini hatujui chanzo chake nini. Tunaambiwa kuwa covid19 wagonjwa wapo lakini hawafiki hata 1000 maana last time Gwajima kuongelea hilo...
  10. T

    Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Leo Jumatano, serikali ya Marekani inatarajia kutangaza kuanza kutoa chanjo ya pili kwa wale waliopata chanjo ya J&J ama ya tatu kwa waliopata chanjo zingine za kukabiliana na covid 19 kwa watu wote waliopata chanjo. Awali, wiki iliyopita, taasisi ya afya na chakula ya Marekani, FDA ilitoa...
  11. COMOTANG

    Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

    Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza. Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia . Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3. Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu...
  12. T

    Tathmini yangu juu ya muenendo wa chanjo ya COVID-19 Tanzania

    Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July, 2021, karibu wiki 3 zilizopita. Tathmini yangu inajikita kwenye muitikio wa watu kuchanjwa. Leo hij...
  13. F

    Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

    Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe! Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli. Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
  14. Lady Whistledown

    Ujerumani: Maelfu wahofiwa kupewa maji ya chumvi badala ya chanjo

    Wengi wa wale waliopewa chumvi isiyokuwa na madhara ni wenye miaka zaidi ya 70. (Chanzo cha picha: AFP) Mamlaka kaskazini mwa Ujerumani imewataka zaidi ya watu 8,000 kurudia kupata chanjo za Covid-19 kwa sababu muuguzi anashukiwa kuwa na aliwachoma maji ya chumvi badala ya chanjo katika visa...
  15. Mtemi mpambalioto

    Ushauri kwa Serikali: Kupima COVID-19 iwe bure baada ya hapo ndio mtu akachome chanjo

    Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali: Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika. Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo? Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili...
  16. M

    Namna gani unaweza kujumuika na muathirika wa COVID-19 ili asione mnamnyanyapaa?

    Unyanyapaa ni kitu kibaya sana. Hivyo lazima kuepukwa. Lakini vipi unapokuwa na mate wako ambae aliugua dalili zote za Uviko na bado anakohoa na kupiga chafya. Akija kazini mnatakiwa kuishi nae vipi? Maana kilia mtu anaogopa huu ugonjwa. Kumtenga? Ukimtenga atasema mnafanya unyanyapaa.
  17. U

    Kwa ujazo huu wa Daladala, tutashinda vita dhidi COVID-19?

    Leo kuna tukio nimeshuhudia ndani ya daladala asubuhi, tukio ambalo limenipa tafakari ya kujiuliza kweli hii vita dhidi ya COVID-19 tutaishinda kweli; tuko makini sisi kama wananchi na mamlaka kwa ujumla. Ni hivi daladala limejaa, abiria Wameshona lakini makonda bado wanataka lipakie abiria...
  18. T

    FDA ya Marekani yaidhinisha dozi ya tatu ya chanjo ama booster vaccine kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19

    Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa waliopata Chanjo ya Johnson and Johnson) ama ya tatu kwa waliopata chanjo nyingine kama Moderna ama...
  19. N

    Kwa anayejua tunapataje kadi za chanjo ya COVID-19 tujuzane

    Tuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za chanjo. Nikiuliza pale Benjamini Mkapa Hosp naambiwa mara tunasubiri za online mara tunasubiri...
  20. Makirita Amani

    Hii hapa ni nafasi yako ya kuibadili dunia, itumie

    Rafiki yangu mpendwa, Kama umewahi kudhani kwamba huwezi kuibadili dunia umekuwa unakosea sana. Kila mmoja wetu kuna kitu anaweza kufanya kuibadili dunia na kuifanya kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi. Na leo hapa unakwenda kujifunza kitu kimoja unachoweza kufanya hapo ulipo na ukaibadili sana...
Back
Top Bottom