Corona imekuwa mradi wa Serikali au Mradi wa watu? Wanaowekwa karantini walalamikia bei kubwa ya hoteli wanazopelekwa

Keyura

Member
Aug 14, 2015
83
109
Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama

Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe, Dar Palace na Peacock Hotel
 

Attachments

  • VID-20200324-WA0004.mp4
    14.1 MB
Hii video inayomuonesha mama aliyetoka nje ya nchi akilalamika kupelekwa hotel za ajabu zenye gharama kubwa ina ukweli?

Hivi kweli hizo ndo karantini zilizotengwa na Serikali? Rais umepataje nguvu ya kutalii juu mawe ili hali nchi haina karantini na tunategemea mahotel ya mabepari?

Mimi ninaisi huu ni mchongo wa baadhi ya watendaji wa Serikali. Dada njoo manzese ukae guest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha hahaha hahaha kamanda TAKUKURU tafadhali washa gar haraka ukuje nikupe mtonyo wa haraka kuna wana hapo Dar wameingia mikataba ya ajabu na baadhi ya wana ili wapige pesa alafu mbaya zaidi hotel zimeongeza bei kudadk hapo naskia mwanangu wa DOOooooo kapiga hela ndefu alafu zigo anawatupia viongozi wa mtaaa hahahah hahahahah hahahhaa


mwannangu wa dar viongozi wa mtaa anataja wawe wanapiga doria hahahaha hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoteli wanazo takiwa kukaa wanaoingia nchini kwa siku kumi na nne ni:
Rungwe
Peacock Hotel
Dar Palace na Southern Sands

Wasafiri wanategemewa kukaa kwa gharama zao. Hoteli ni ghali sana, maamuzi haya yamekuwa mateso kwa wasafiri.
 
Ulitaka rais akatalii kwenye kifua cha mama yako(sorry jpm) maana watu wengine wanakela sana kwa kuleta hoja mfu,hotel na mtu kupunga upepo vinauhusiano gani,pambaneni na khali zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mama yake aliyeandika comment ameingiaje hapa kwenye majadiliano jukwaani ?

Tumia busara ndugu, kama unatofautiana mawazo /mtazamo na mtu sio sahihi kutoa maneno ya kashfa kiasi hicho. Ungeandika kwa ustaarabu tu ungeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom